Ndugu wa mume ndiyo hawa au kuna kitu nakosea?

Ndugu kama ni mkristo sali funga ataondoka kama upepo wa kisuli suli

Mungu anaangalia moyo kwanza!

Utamfanya mwenzio ashinde njaa bureee!

Anaangalia huyu anaomba moyoni kumejaa nini upendo au chuki na choyo?

Unaambiwa hata ukiwa na imani ya kuhamisha milima pasipo upendo kazi bure

Ni kama Shaba iliayo upatu!
 
Jamaa anatokea mkoa tofauti na wewe?
Hali ya kiuchumi na mumeo ikoje huko kwao kabla hamjakutana?
Alikukuta na hali gani ya kiuchumi?
Nashindwa kuzuia hasira zangu, nishaurini nifanyeje wadau.
 
Akifanya hivyo wewe mpe bill kaka ake alipe akiuliza bill kubwa mwambie mdogo wake ndo kasababisha
Glenohumeral joint,
Asante sana kwa ushauri hayo yanavumilika ila kuna figisu nyingi nimeskip sijaandika.

Kuna siku aliamka usiku kujiandaa kwenda huko anaposoma akafungua bomba la chooni akaacha wazi na la nje akaacha wazi dada anakuja aamka maji yameshatoka kama lisaa hivi.

Bill ilikuja kama elfu 60 hivi ya maji.
Nilikuja muuliza kwanini anafanya hivi haya mambo akakana akasema hajaacha maji yeye. Ila kuna siku anatoka kuoga na dada ndo anaingia bafuni akakuta bomba linamwaga tu maji ndo nikambana kwamba anafanya makusudi na sio kupitiwa.

Embu niambia nifanyaje jamani moyo unashindwa kuyabeba yote haya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni mwanaume
Pole sana! Mimi baada ya kuoa,nilileta ndugu home wakae na wife siku zilipoanza changamoto za aina hiyo sikujua ila nikirudi wanajifanya wanaelewana,Baada ya uchunguzi wangu nikagundua kumbe nikiwa sipo nyumba huku inafuka moshi sikupoteza Muda nilitimua ndugu wote nikabaki na Wife. Wameongea hukoo! Sasa hivi kila mmoja anaomba msamaha kwa muda wake,Nasikitika hujapata mume bora.Muombe Mungu akusaidie kumbadilisha mumeo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si uondoke uende kwenu.kama mwamaume anakupenda kweli ataakufata na ndugu zake atawatimua abaki na ww
Paula Paul,
Nishajaribu mara kwa mara kukaa nae lakini hakuna hatua yoyote anachukua.

Napenda sana kusikiliza mahubiri jumapili nzima.siku moja naweka mahubiri huyu mdogo wake wa kiume akabadili akaweka mziki na nilikua hapo hapo.eeeh nikamwambia tunaangalia wenzanko mahubiri.akanza oooh wee kaa jikoni sijui nini yaani kashfa kibao.(anavuta bangi)

Basi nikaenda nikamueleza scenarii hiyo kaka ake,yeye akasema unheona anataka kuangalia yeye ungemuachia remote.

Kweli jamani hata kikitokea nini utamwambia tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoa hizi, sema acha mambo ya ligi na wifi zako tulia fanya mambo yako tatizo ni pale kutaka kuwa control hutaweza, kwani ukimuacha housegal afanye kila kitu kuna ubaya gani au ikiwezekana ongezeni housegal muwe na wawili hizo gharama mume wako si anazimudu, happiness is free ni wewe tu kutaka kujitutumua katika nyumba yako, tulia ishi kawaida tu.
 
Ukweli ni kwamba huyo mwanaume wala hakuhitaji
Ujue kuna tofauti ya kupenda na kuhitaji
Inawezekana anakupenda ila matendo yake yanaonyesha hakuhitaji
Kama huna kazi tafuta kazi or business taratibu ukishaweza kujitegemea ondoka tu hapo
Unavyozidi kuumia kuna siku unaweza kumuumiza huyo wifi yako alafu ndo mambo yazidi kuwa mabaya
Pole sana aisee
 
Tatizo ni kwamba hako kabinti kanaweza kuzalishwa kakarudi kuishi hapo hapo kwa kaka ake, ikawa ni mbinde zaidi
Just potezea, jifanye fala, dunia ndo itanyoosha.
Atasoma hata mara hamsini, kazi olaa, umri unaenda hajapata mume, mvivu. Kiufupi anaweza asioleke na ndo atatia akili.

Mwache tu, akifika miaka 60 bado yuko hapo, huyo kashindikana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri wangu Muombee huyu binti apate kazi ili aondoke hapo akuache utulie na familia yako. Muombe sana Mungu akupe amani ya moyo ili usiwe mtu wa kisasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom