Ndugu wa Agness Masogange wamsubiri mahakamani bila mafanikio

kimpe

JF-Expert Member
Jan 26, 2012
911
861
masogange.PNG

Wakiondoka Mahakamani baada ya Masogange kutopandishwa mahakamani. BTW Agness kapata wapi Msambwanda vilee........... Ila mpiga picha Mungu anakuona
 
Kusema ukweli aliyeturoga sisi Watanzania alaaniwe

Yaani akili zetu zimegoma kufikiria mambo mengine.....kila jambo tunalinasibisha na mambo ya kipuuzi...........
Yameanza magreat thinkers jukwaa la siasa, habari hoja mchanganyiko juu pale lipo ila kusema ukweli hata ww kuna kitu umeona hapo
 
Mpiga picha hujatutendea haki kabisa.... Hii sehem uliyotuonyesha hata shetani atakukataa siku ya mwisho....
 
Back
Top Bottom