Ndugu Mwenyekiti Wa Tume Yetu ya TAIFA YA UCHAGUZI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndugu Mwenyekiti Wa Tume Yetu ya TAIFA YA UCHAGUZI

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Sabi Sanda, Oct 25, 2012.

 1. S

  Sabi Sanda JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  tunakuomba sana kesho asubuhi ulitangazie taifa letu matokeo halali ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010
   
 2. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2012
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  Sielewi mantiki ya thread hii,pengine mleta Mada amefufuka
   
 3. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2012
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,604
  Trophy Points: 280
  Mbona aliesadikiwa kushinda hakudai kuwa ameibiwa?wewe umeyatoa wapi hayo?alieshindana albakia kimya na mdomo wazi mwezi mzima hakusema lolote!!!
   
 4. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,800
  Trophy Points: 280
  Naungana nawe, haiwezekani kura zetu zidharauliwe, oneni aliyeshindwa lakini akatangazwa mshindi asivyojua thamani ya taasisi anayoitumikia.

  Tangaza haraka matokeo halaliiiiii
   
 5. S

  Sabi Sanda JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Natumaini ukweli utawekwa wazi.
   
Loading...