Ndugu Lema; taarifa za utekwaji "MO" zilete Central; Kufanya mkutano hauruhusiwi kisheria na utakamatwa

Vipi mmesha mkamata leta,
Watoto wa waganga wa kienyeji MNA mambo nyie,kila kitu mnaagua tu
nani ? Mganga kakobe ?by the way , waganga mna o lukuki huko kwenu ,ufipa, fatilia nyuzi za utetezi wa waganga , halafu kama hutakuta wanaukawa wako front.
 
Nisamuhewe kama nitamkwaza uyu ajuza wa fikra anayedhani sote tuna akiri fupi kama yeye.
Ivi hujui kuwa kutokea kwenye maekezo ya Lema police wanaweza kupata pakuanzia?
Ikumbukwe kuwa Lema kaongea kama alivyoongea yule msema hovyo (Kangi) anayedai kuwa MO katekwa kama wengine duniani kote. Ikumbukwe kuwa Lema kaonyesha utekwaji wa MO ulivyo tofauti na wengine kaenda mbali zaidi kaonyesha mazingira apotekwa nakuainisha majirani kuanzia makamu wa Rais, Usalama wa Taifa, Balozi wa Papa nk.
Kwamwenye akiri timamu unaweza kutofautisha press ya Kangi na Lema lakini pia nasikia toka jana makachero wanaisikiliza ile ya Lema naekunauwezekano mkubwa kwa mala ya kwanza Usalama wa Taifa umepasuka upande mmoja wakijiapiza kumpata MO nawengine wakionesha mashaka.
Hivyo kubeza hotuba ya Lema niukosefu wa kinga ya akiri.
 
Back
Top Bottom