Ndugu, jamaa na marafiki njooni tumtetee Makonda dhidi ya mapapa wauza unga wanaomzushia

nipo tayari kumtetea, ila kwanza nijilizishe yuko fit, akapimwe vyote na inaonekana yupo fit
 
Nimemfahamu ndugu Paul Makonda kwa takribani miaka 20 sasa, majina yake ni halisi sio kama ilivyozushwa eti Daudi Bashite. Proof nenda pamba secondary na busweru secondary ..
Usikae ukisubili uletewe proof
 
creative mind....
Ngoja nimtetee kidogo
Daudi Albert Bashite hajaghushi vyeti bali majina haya{Paul Christian Makonda) ni yake halali aliyapata kihalali kabisa km ifuatavyo

Paul hili jina alipewa Primary kutokana na kipaji chake cha soka wakati akichezea timu ya shule akifananishwa na Paul Scholes
Christian hili jina alipewa na mwalimu wake wa darasa wakati yupo form two maana darasa zima yeye peke yake ndo alikuwa Mkristo
Makonda hili jina alilipata akiwa form 4 alikuwa na rafiki yake ambaye walikuwa wanarudi pamoja Mwanza likizo na kufanya kazi kwenye daladala hivyo shuleni wakawa wanawaita Makonda

Hilo ndo chimbuko la majina yake wala hajaghushi jamani
 
Nini kimewashinda hao wanaoandika hizi tuhuma kutafuta ushahidi. Wangeweza kwenda baraza la mitihani na kutafuta ushahidi!

Watueleze utaratibu wa kukarabati ofisi ya mkuu wa mkoa ilianza mwaka gani na Makonda aliteuliwa kuwa mkuu wa mkoa lini?

Kila linaloandikwa bila hata chembe ya ushahidi wakati ushahidi unaweza kupatikana kirahisi ukihamua kujibu utajikuta hata unashindwa kutekeza majukumu muhimu!

That being said, Makonda atajibu hizo tuhuma kesho kupia redio.

Nilimalizia kwa kusema... he has to speak...
 
Nimemfahamu ndugu Paul Makonda kwa takribani miaka 20 sasa, majina yake ni halisi sio kama ilivyozushwa eti Daudi Bashite. Proof nenda pamba secondary na busweru secondary ..
Usikae ukisubili uletewe proof

Hakuna shule inaitwa "Busweru". Nimetafuta sana kwenye orodha ya shule za Sekondari sijaiona. Angalia usimtie hatiani huyu jamaa kwa kumsomesha katika shule feki. Au ulikuwa na maana ya Shule ya Sekondari Buswelu? nimeona jina la shule hiyo na iko Wilaya ya Ilemela, Mwanza.
 
Nimemfahamu ndugu Paul Makonda kwa takribani miaka 20 sasa, majina yake ni halisi sio kama ilivyozushwa eti Daudi Bashite. Proof nenda pamba secondary na busweru secondary ..
Usikae ukisubili uletewe proof

Mwaka gani mkuu? tupe miaka aliyosoma katika shule hizo, mengine tutakupa details sisi wenyewe..
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la Mass Mobilization Kuunga Mkono Juhudi za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Katika Vita Hii ya Madawa ya Kulevya Kwa Kuwaomba Ndugu, Jamaa na Marafiki, Wanaomjua Makonda Kwa Karibu, Njooni Tujitokeze Kwa Wingi ,Kumtetea Makonda Tunayemfahamu Dhidi ya Uongo na Uzushi Anaozushiwa na Mapapa Wauza Unga Kupitia Kwa Vibaraka Wao Kumsingizia Ameghushi Majina, Amegushi Vyeti, Amesoma Chuo Kikuu Kwa Chati Cha Kughushi na Mpaka Sasa Anatumia Majina ya Kughushi!.

Tangu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam awaumbue wauza unga wakuu kwa kuwataja majina live, tena bila kupepesa macho wala kumungunya maneno, mafisadi hawa, wapambe wao, makuwadi wa ufisadi na wale wote wasilitakia mema taifa hili, wameanza kampeni ya kumvunja moyo na kumkatisha tamaa Makonda kwa kumzushia kila aina ya uongo.

Sisi tunaounga mkono vita hii, tunamsisitiza akaze uzi na asitetereke, wala asipoteze muda wake wa thamani kujibu uongo wowote wa kwenye mitandao, yeye achape tuu kazi, na majibu ya tuhuma zinazoelekezwa kwake, hazina haja kabisa ya kujibiwa na Makonda mwenyewe bali ndugu zake na marafiki zake wenye nia njema, wanaweza kutusaidia.

Maswali ni haya.
1. Majina matatu ya Mzee Makonda ( baba) ni nani? .
2. Majina matatu ya Makonda (mtoto) aliyoandikishwa Primary pale
3. Alianza Shule ya msingi mwaka gani na kumaliza darasa la 7 mwaka gani? .
4. Baada ya kumaliza la 7 alijiunga na sekondari gani mwaka gani?.
5.Alitumia majina gani matatu sekondari, tukiisha pata tuu majina, tutayaona matokeo yake ya Necta hivyo kuwakata vilimilimi wazushi wote.
6. Alijiunga Mbegani mwaka gani kwa majina gani? .

Majibu ya maswali hayo, yatawakata kabisa vilimilimi wote wanaotaka kumzushia kuwa hakusoma sekondari, alipata Div. 0 na kwamba aliiba cheti cha mtu!.

Ndugu, Jamaa na Marafiki, Tujitokeze Kwa Wingi Kumtetea Makonda Kwenye Vita ya hii ya madawa ya kulevya dhidi ya mapapa wa madawa wanaotaka kumchafua Makonda wetu.

Paskali.
Paskal nimekukubali kuwa wewe ni mwandishi nguli wa habari Tanzania na unajua kufikiria inavyotakiwa
Asante sana kaka.
Great thinkers have understood you
 
shida nini mpaka leo ? maana mimi ukidoubt cheki changu hata sasa hivi nascreenshot tu au hana ?

Kweli kabisa. Ukisema mimi si Treborx, na eti kuna Treborx mwingine ni mcheza sinema, sasa hivi naweka ushahidi hapa kuthibitisha you are very wrong. Tunapenda sana michezo ya siasa nchi hii. Eti wanakwenda kufafanua redio Clouds, kwani Clouds ndio waliomzushia issue ya ku-forge vyeti??
 
Mwaka gani mkuu? tupe miaka aliyosoma katika shule hizo, mengine tutakupa details sisi wenyewe..
Inasemekana hayo ndy matokeo ya DAUDI BASHITE
e8bab0be36cf2a8ed2002fd21d5a84da.jpg
 
Kuna watu wana akili nyingi sana.... Yaani tujitokeze kumtetea baada ya kutaja MAPAPA WAKUBWA wa madawa ya kulevya...na ni kweli kawataja mapapa kina Wema, Babu wa kitaa, Gwajima, Manji, Mbowe hawa wote walikamatwa na kilo nyingi sana.
Sasa kwanini tusijitokeze kumtetea?
 
Hapa hatuna haja ya kumuuliza Makonda maswali yasiyo na msingi. Muhimu ni kuunga mkono kupinga madawa.

Makonda hapa pa madawa ya kulevya amefanya kazi nzuri sana hata kupita Watanzania wooooote.

Kuhusu jina lake???? HAITUHUSU WALA SI MASILAHI YETU.

Letu tunapenda tufukue mambo ya kishetani yote na kuyamaliza kwa nguvu zote.
 
Wanabodi,

Hili ni bandiko la Mass Mobilization Kuunga Mkono Juhudi za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Katika Vita Hii ya Madawa ya Kulevya Kwa Kuwaomba Ndugu, Jamaa na Marafiki, Wanaomjua Makonda Kwa Karibu, Njooni Tujitokeze Kwa Wingi ,Kumtetea Makonda Tunayemfahamu Dhidi ya Uongo na Uzushi Anaozushiwa na Mapapa Wauza Unga Kupitia Kwa Vibaraka Wao Kumsingizia Ameghushi Majina, Amegushi Vyeti, Amesoma Chuo Kikuu Kwa Chati Cha Kughushi na Mpaka Sasa Anatumia Majina ya Kughushi!.

Tangu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam awaumbue wauza unga wakuu kwa kuwataja majina live, tena bila kupepesa macho wala kumungunya maneno, mafisadi hawa, wapambe wao, makuwadi wa ufisadi na wale wote wasilitakia mema taifa hili, wameanza kampeni ya kumvunja moyo na kumkatisha tamaa Makonda kwa kumzushia kila aina ya uongo.

Sisi tunaounga mkono vita hii, tunamsisitiza akaze uzi na asitetereke, wala asipoteze muda wake wa thamani kujibu uongo wowote wa kwenye mitandao, yeye achape tuu kazi, na majibu ya tuhuma zinazoelekezwa kwake, hazina haja kabisa ya kujibiwa na Makonda mwenyewe bali ndugu zake na marafiki zake wenye nia njema, wanaweza kutusaidia.

Maswali ni haya.
1. Majina matatu ya Mzee Makonda ( baba) ni nani? .
2. Majina matatu ya Makonda (mtoto) aliyoandikishwa Primary pale
3. Alianza Shule ya msingi mwaka gani na kumaliza darasa la 7 mwaka gani? .
4. Baada ya kumaliza la 7 alijiunga na sekondari gani mwaka gani?.
5.Alitumia majina gani matatu sekondari, tukiisha pata tuu majina, tutayaona matokeo yake ya Necta hivyo kuwakata vilimilimi wazushi wote.
6. Alijiunga Mbegani mwaka gani kwa majina gani? .

Majibu ya maswali hayo, yatawakata kabisa vilimilimi wote wanaotaka kumzushia kuwa hakusoma sekondari, alipata Div. 0 na kwamba aliiba cheti cha mtu!.

Ndugu, Jamaa na Marafiki, Tujitokeze Kwa Wingi Kumtetea Makonda Kwenye Vita ya hii ya madawa ya kulevya dhidi ya mapapa wa madawa wanaotaka kumchafua Makonda wetu.

Paskali.
We mzee paskali wewe unamambo
 
Back
Top Bottom