Yaani kuna watu washarp huku! Mpaka wanaweka video kuthibitisha wasemacho! Kweli tupu ndugu!
Mkuu signature yako tuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!! InatishaYaani kuna watu washarp huku! Mpaka wanaweka video kuthibitisha wasemacho! Kweli tupu ndugu!
Naunga mkono hilo wazo Samaritan. Ntaleta nyingi za aina hii hapa Jamii PhotosTunashukuru kwa kutuletea chemsha bongo tuongeze maarifa kidogo, manaake kila kona ni ZZK, sijui Kapuya, mara Wenje yaani tafrani, ila mambo kama haya ya historia na ugunduzi burdani sana mkuuu. Au tuanzishe kitu kama ile ya Skonga JF?