Ndugu Hawa Wanahusishwa na Nini Katika Historia?

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,244
4,257
PHOTO-ORVILLE WRIGHT.jpg PHOTO-WILBUR WRIGHT.jpg
 
Yaani kuna watu washarp huku! Mpaka wanaweka video kuthibitisha wasemacho! Kweli tupu ndugu!

Tunashukuru kwa kutuletea chemsha bongo tuongeze maarifa kidogo, manaake kila kona ni ZZK, sijui Kapuya, mara Wenje yaani tafrani, ila mambo kama haya ya historia na ugunduzi burdani sana mkuuu. Au tuanzishe kitu kama ile ya Skonga JF?
 
Naunga mkono hilo wazo Samaritan. Ntaleta nyingi za aina hii hapa Jamii Photos
 
Last edited by a moderator:
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom