Kasinja jr
JF-Expert Member
- Aug 4, 2017
- 1,034
- 1,792
Leo November 16 2017 ilikua ni mara ya kwanza kwa Juliana Shonza kusimama Bungeni na kujibu maswali ya Wabunge tangu kuteuliwa na Rais kuwa Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Spika Ndugai alionesha kukubaliana na uwezo wake wa kujibu maswali huku akishangiliwa kisha akasema “Aaah! Rafiki zangu kushoto wamenunaaa!!”