Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,266
- 4,716
Upitie mtori pale kwa Manka, nitalipaOgopa sana mwanadamu akikusifu kuna Siku atakugeuka
Upitie mtori pale kwa Manka, nitalipaOgopa sana mwanadamu akikusifu kuna Siku atakugeuka
Siyo kuwekwa tu, hata afya yake imetetewa mnoLeo ndio nimeona wanasiasa hawawezi kuiona pepo kwa unafiki wao, huyu huyu Ndugai aliwekwa pale na mzee leo anaongea haya kweli.
Ndugai alikuwa sahihi kipind fulan kuwa kuacha mrad wa bagamoyo ni umama ,leo msumbuji wameenda kutekeleza kujenga bagamoyo yao wataingiza pesa...kama kulikuwa na masharti mabaya wangefanya reformation au angepewa mtu mwingine sio lazima wachina.Hata Ndugai kamsaliti mwendazake....kazi kweli.
Ni kweli, anamtihani wa kuweza kutenganisha chuya na mchele.Hiki ndicho kipimo cha kwanza kwa rais
Sasa Ndugai anaanza kufundisha mambo ya bandari na uchumi bungeni. Cha kushangaza anaeleza mambo muhimu mawili ktk bandari, kwa uelewa wake. Yaani bandari iwepo au hapana? Na, nani ajenge mchina au canada nk.
Anakwepa tatizo letu wa-TZ, mkataba. Mkataba aliokuwa akiutetea kwamba mkubwa; Magufuli alipotoshwa, ukoje? Iwe china, iwe canada tatizo ni mkataba. Na, yeye kutukumbushia presentation yake na wachina, alioneshwa mkataba? Nini kinamsukuma hadi leo kuwatetea wachina? Hakuwatetea wengine, asidanganye. Aliwasifu wachina na upendo kwa TZ.
Sababu ni mwendazake ndo aliesababisha mpaka huyo mgogo hajielewi aiseeSasa Ndugai anaanza kufundisha mambo ya bandari na uchumi bungeni. Cha kushangaza anaeleza mambo muhimu mawili ktk bandari, kwa uelewa wake. Yaani bandari iwepo au hapana? Na, nani ajenge mchina au canada nk...
Big thinking hiiHaya ndio madhara ya kuongoza watu kidikteta, siku umeondoka watu wanaanza kuongea wanachokiamini ambacho ni tofauti ni ulichokuwa unawalazimisha wafanye. Lakini ni funzo pia kwa nchi hii kuwa vetting system haifanyi kazi na matokeo yake ndio haya utawala umejaa deadwoods kibao wasio kuwa na wanachokiamini zaidi ya matumbo yao.