MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,485
- 8,701
Nchi nyingi sana Duniani Spika wa Bunge huwa ni watu walio karibu sana na Wananchi, ni mara chache unakuta maspika wa Mabunge wakiwa against community.
Tanzania ni tofauti sana akija mgeni then ndo akute Ndugai anaongea kwenye TV anaweza dhania yeye ndio Rais wa nchi au Waziri mkuu kwa namna anavyoitetea Serikali.
Ndugai speed ya kutetea Serikali ni kubwa kuliko ya Waziri mkuu kutetea Serikali na hii nadhani inachagizwa na Kinga alionayo.
Spika wengine huwa ni watu rafiki wa wananchi na mara nyingi huja kuwa wakuu wa nchi, ila Ndugai Ubunge tu huwa anafanya Magumashi