Ndugai na Majaliwa hawatagombea Ubunge 2025

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Mwaka 2025 ni mwisho wa Ndugai na Majaliwa katika kugombea Ubunge.

Ndugai u-spika wake wa miaka 10 unakoma 2025.

Majaliwa uWaziri Mkuu wake mwisho 2025.

Hakuna cheo kingine kikubwa kwao zaidi ya Urais na uMakamu wa Rais.

Hivyo 2025 hawana cha kupoteza kabisa maana Ubunge siyo issue kwao.
 
Kimuhemuhe cha list inayo tayarishwa hiki. Rais Kasema kigezo kitakachotumika ni kuwasaidia wanao jiandaa 2025 wapate muda zaidi kujiandaa. Ukiweza kujua wenye matamanio ya 2025 utakuwa umegundua 75% ya watakao achwa Baraza lijalo. 25% ni wale ambao anaona uwezo wao hauwezi kumsaidia kuongoza nchi.
 
Back
Top Bottom