Uchaguzi 2020 Ndugai: Mimi ndio Spika wa Bunge, nawajua Wabunge wote. Hao wapinzani hawajawahi kuwatakia maendeleo watanzania maana wao kila kitu hupinga tu

Ndugai ni empty kichwani
Akajifanye anawasaidia wengne huko kwake tume wakirudisha jina lolote kaishaa

Muulize wapinzani ndio walibomoa matundu ya vyoo kongwa?
Wewe umeshaifanyia nini jamii hata ya mtaani kwako? Utakuta we ni mtu ambaye ni bure tu hata kwa familia
 
muulizeni huyo Ndugai serikali ilipokuja na mswada wa kufuta fao la kujitoa, wabunge wa upinzani walikua na msimamo gani na wabunge wa ccm walikua na msimamo gani???

Muulizieni huyo Ndugai, ilipoletwa hoja Bungeni kuhusu Pesa za ESCROW ni za umma au sio za umma, wabunge wa upinzani walikua na msimamo gani na wabunge wa CCM walikua na msimamo gani??

Muulizeni huyo Ndugai, serikali ilipoleta mswada wa sheria kandamizi ya vyombo vya habari, wabunge wa upinzani walikua na msimamo gani na wabunge wa CCM walikua na msimamo gani?

Muulizeni huyo Ndugai, serikali ilipoleta swala la kufuta vipindi vya bunge kurushwa live, wabunge wa upinzani walikua na msimamo gani na wabunge wa CCM walikua na msimamo gani?

Muulizeni huyo huyo Ndugai, serikali ilipoleta mswada wakuwatoza fedha wamiliki wa You Tube channels, wabunge wa Upinzani walikua na msimamo gani nawabunge wa CCM walikua na msimamo gani??

Muulizeni huyo Ndugai lilipoletwa swala la kuwapandishia wanufaika wa mkopo wa chuo makato kutoka 8% hadi 15% ya mshahara wabunge wa upinzani walikua na msimamo gani na wabunge wa CCM walikua na msimamo gani??
 
Siasa za upinzani za kitoto mno mfano unakuta wanapinga umunuzi wa ndege ili ubaki huna ndege ukibaki huna ndege uchaguzi ukiwa wanaanza kuponda nchi gani isiyokuwa na ndege ndege mijini tupeni kura tutanunua ndege

Upinzani wa Tanzania ni wa kitoto na wa kijinga
Ukijua maana ya ‘PRIORITIES’ utaacha kuhoji mambo ya kitoto.
 
Yaani ni
Kwani jimbo la Kondoa kabla lilikuwa likiongozwa na Upinzani kiasi kwamba ndio hakuna maji kwa kuwa Wapinzani wamepinga kuwepo maji Kondoa naomba majibu ya nguvu au hoja hai please
Yaani ni aibu miaka yote jimbo halina maji na ni chama cha CCM kinaongoza halafu wanaongea kama wapinzani ndo wamezuia maji kuja dah na wanachi wanashangilia hii nchi ngumu sana
 
Yaani kuna ndugu zetu wa TZ wanatia aibu wanafanya iaminike TZ wana IQ ndogo kweli hata kama mnachuki na watu flani wa upinzani au hata huo upinzani wenyewe, hauwezi kukubaliana na hiki wanachopanga CCM sio kweli wapinzani hawachangii maendeleo si kweli hawapendi kuona tunasonga mbele ukweli ni kwamba wanajua madudu yote yanayofanywa na CCM na wao kama wa TZ wanaumia mno.
 
Bunge dhaifu kuwai kutokea ni la awamu ya 5 chini ya ndugai alafu anazungumza mavi mavi gani. Udhaifu unaozungumziwa ni wa ndyo fikra za mwenyekiti huku wakishindwa kusimamia serikali.
 
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kondoa kimezindua rasmi kampeni zake za Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kondoa Mji, Makoa Ally ambapo mgeni rasmi alikua Spika wa Bunge na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Job Ndugai.

Akizungumza katika uzinduzi huo, Spika Ndugai amewaomba wananchi wa Kondoa wasifanye makosa katika kuchagua wawakilishi wanaojua kero zao na wenye kuweka mbele maslahi yao ili waweze kuwasemea.

" Ndugu zangu nyie wote mmejionea jinsi Dk Magufuli alivyoufanya mkoa wetu wa Dodoma kupanda chati, uchumi wetu sasa hivi umekua baada ya kuwa makao makuu ya serikali huku yeye mwenyewe akihamia hapa, nini cha kumpa zaidi ya kura za kishindo?

Mimi ndio Spika wa Bunge, nawajua wabunge wote, hao wapinzani hawajawahi kuwatakia maendeleo watanzania maana wao kila kitu hupinga tu, wanasema Rais anatumia hela hovyo kununua Ndege lakini kesho utawakuta wamezipanda, wanatumia barabara za lami kwenye kampeni zao lakini wanasema hakuna lililofanyika.

Kondoa ni wakati wa kuamka na kutoa kura nyingi za kuwafanya wapinzani wajute kwanini wameshiriki uchaguzi huu, niwahakikishieni mkimleta Makoa bungeni nitamsaidia sana katika kuwaletea maendeleo," Amesema Ndugai.

Kwa upande wake mgombea Ubunge wa Jimbo hilo la Kondoa Mji, Makoa Ally amesema anafahamu changamoto nyingi zinazowakabili wananchi wa Kondoa lakini kero ya Maji ndio kipaumbele chake cha kwanza.

" Najua kuna mambo mengi ya kufanya ila nyinyi wenyewe ni mashahidi kwamba hakuna jambo la muhimu Kondoa kwa sasa kama Maji, niwaombe nipeni ridhaa ya kuwa Mbunge wenu nikashughulike na maji ili dhana ya kumtua mwanamama ndoo kichwani iweze kutumia," Amesema Makoa.

Naye Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na msanii wa Bongo Fleva, Keisha amewaomba watanzania na wananchi wa Kondoa kuchagua mafiga matatu ya CCM ili yaweze kufanya kazi kwa ushirikiano na kusukuma gurudumu la maendeleo mbele.

" Chagueni Rais, Wabunge na Madiwani wetu, msipowachague wote kwa pamoja mnakwamisha maendeleo maana wapinzani wale ni kupinga tu sasa watu wanaopinga maendeleo ni ngumu kuikumbusha serikali iwajengee visima vya maji maana wao wanasubiri serikali ijenge ili wapinge, naombeni msifanye kosa Oktoba 28, kura zote kwa CCM," Amesema Keisha.
Jimbo la Kongwa wanalia nawe upo ccm tena spika ,umepeleka maendeleo Jimbo la Kongwa?
 
Na Sisi tunamfahamu vizuri kuwa ni mgonjwa wa akili ndiyo maana anajiita spika wakati Bunge limeshavunjwa kitambo tu.
 
hiyo ni kweli kabisa

spika ndugai alikuwa akitumia muda mwingi kujaribu tuliza ghasia ambazo zote zilikuwa zikisababishwa na wabunge wa upinzani, hii inaonesha kuwa wao ni wapinagji na sio wajenga hoja ambayo kwa maana nyingine hawajadili masuala yanayohusu majimbo yao na wananchi wao kiujumla
hii inamaana ya kwamba hawazungumzii masuala ya maendeleo ya watu wao
 
Ulivyoletwa mswada wa kufuta fao la kujitoa wabunge wa CCM woote walisema Ndiiiiiyo tena kwa vijembe.
wabunge wa upinzani walipinga huo upuuzi.

Je, anayesimamia maslahi ya wananchi hapo ni CCM au ni wapinzani???
 
Ndungai ungejali shida za Watanzania ungehoji mustakabali wa mazao ya biashara hususan korosho.

Unge hoji ufumukaji wa bei kwa bidhaa za kila siku hasa sukari.

Wewe ni spika kibogoyo.
 
Jimbo la Spika anaekubali kila kitu lina hali gani kwenye maendeleo? Linaweza angalau kwa nusu kulikaribia Jimbo la Tarime vijijini?
 
Huyu naona anatakiwa kurudi tena 'india' akateketeze fedha za walipa kodi.
Kwake kuna maendeleo gani? anyway, ngoja ninyamaze kwani sio yeye!
 
Huko ni kukosa maarifa ya kutosha. Huyo yaweza kumkuta ya marehemu Sitta, endapo Tulia akishinda Mbeya mjini.
Pia CCM ikishinda kwa idadi ya wabunge zaidi ya nusu, hata kama Tulia akishindwa Ubunge Mbeya, kwa katiba iliyopo ataweza kugombea na hata kupata Uspika
 
Ubunge unaongeza nguvu ingawaje katiba ipo kimya kwenye hilo.
 
Back
Top Bottom