Ndugai: Mbunge wa CCM hatakiwi kupingana na serikali yake bali aishauri tuuu

Kwa masikitiko makubwa baadaya ya pumba za Nchemba, Naibu spika amawaambia wabunge wa Magamba kuwa wao jhatakiwi kwa namna yoyote ile kupinga bajet ya chama chao bali wao wanatakiwa kutoa ushauri tuu, sasa wadau naomba kuuliza. kwa mtindo huu kuna bunge kweli? inamaana wote waliosema hawataunga mkono ni geresha tuu??

My Take: Naona upuuzi huu wa magamba ukiendelea tunakolekea ni kubaya, mi napendekeza kuwa makamanda baada ya Bunge muwahamasishe wananchi kuhusi kauli hii na ikiwezekana mfikishe na audio ya huyo Ndugai.

Nawasilisha
 
Asante ndugu kwa darasa hili kwa Ndungai.
Kifupi Ndungai heshima yako inaporomoka kwa speed kubwa. Naomba watanzania kwa namna na njia zozote tuendelee kutunza hiki kumbukumbu za vichefuvchefu vya akina Ndungai; ipo siku ambayo MUNGU WA WATANZANIA WANYONGE ATAAMUA KUSIMAMA NA KUWATETEA NDIPO NDUNGAI NA WENZAKE WATAKAPOTAFUTA PA KUFICHA NYUSO ZAO! OLE WAO MAANA SIKU HII IPO KARIBU SAAAANA!


EJL
 
Albert Einstein hakuwahi kujisifu hata siku moja, na hii ni kawaida ya gifted persons wote. Mwigulu ni mtupu kwa kila hali na kwa tafsiri ya neno utupu. Makelele ya huyu makalio ni kutokana na utupu wa akili aliouvaa!
Tehe tehe tehe teheeeeeee!
 
Mwigulu anawakondesha sana vilaza wa CDM, jioni hii pia kawachana na bajeti yenu ya harusi, hakuna cha Tundu wala Lusu aliye waokoa. Mwaka huu hadi mlie mule mjengoni.
Ni watupu kama wewe ndio wanaweza kusifia aibu ya Mwigulu! hukuona alivyo jiaibisha alivyojitahidi kujimilikisha ajenda ya pensheni ya wazee wote? Mbona hakueleza kwanini serikali yao dhaifu imeshindwa kuitekeleza! Kwa taarifa yako wewe na makalio wanzako, kadiri huyu mwasherati anavyo ishambulia CHADEMA ndivyo anazidi kuipa ujiko na kukidharirisha CCM ile mbaya. Nilikuwa Mtwara mjini leo, kadiri wale wabunge wa CCM walivyojaribu kuwashambulia CDM ndivyo vijana walizidi kuwazomea!
 
unajua zaman niliamin kuwa wisdom is the product of schooling kumbe sivyo kabisa. Mwigulu kama classmet wang nackitika kumkana na kumdharau had sku naingia ktk nyumba yang ya milele, anafkr anajua anachokifanya kumbe ovyo kabisa ila kila jambo linamwsho wake. Psychologically tatizo lake linaitwa herbephrenic schizophrenia hvyo mwachen tu.
 
Mwigulu ni mgoni tu. wananchi wa Iramba Magharibi wamekula hasara.

jamaa anapenda MIPASHO sana, nina wasiwasi sana na huyu jamaa kuhusu weledi wake kichwani au ni hasira kwa CDM kuleeeee Arumeru Mashariki!:A S confused:
 
Mwenye akili aelewe maneno haya ambayo roho wa bwana amenena kupitia kichwa cha mtumishi wake. Asante mkuu wa makala ndefu na inayosisimua na kuamsha ari ya mapinduzi ya kuikomboa nchi hii kutoka kwenye makucha ya chama tawala.

Big up Mbandu
 
​ndugai ni dhaifu wabunge wa ccm ni dhaifu na serikali ya kikwete ni dhaifu
 
Kama mbunge wako ni wa ccm ukitazama bunge utaizima tv yako haraka sana.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
huyu Ndugai ni mjinga tu na huwa haweki kumbukumbu. Kwenye sakata la Jairo alikuwa wa kwanza kuipinga serikali juu ya kumrejesha jairo kazini. Sasa iweje kwa mbunge aliyedanganywa zaidi ya mara moja katika utekelezaji wa bajeti.
 
Huyu hata hajui maana ya ubunge...

In Westminster parliamentary systems, a back bencher is a Member of Parliament (MP) or a legislator who does not hold governmental office and is not a Front Bench spokesperson in the Opposition. A backbencher may be a new parliamentary member yet to receive high office, a senior figure dropped from government, or someone who for whatever reason is not chosen to sit either in the ministry or the opposition Shadow Ministry.


In most parliamentary systems, backbenchers individually do not have much power to influence government policy. However, they are important in providing services to their constituents and in relaying the opinions of their constituents. Some backbenchers also sit on parliamentary committees, where legislation is considered in more detail than is permitted on the floor of the House, and thereby provide valuable input into the legislative process. In addition, since backbenchers generally form the vast majority of the number of MPs, collectively they can sometimes exercise considerable power especially in cases where the policies of the government are unpopular or when a governing party is internally split.

Source: Webster Dictionary
 
Ni Kauli ya Naibu Spika bwana John Ndugai wakati akihitimisha shughuri za bunge jioni hii kuwa mbunge wa Chama Tawala hatakiwi kupinga hoja za serikali yake bali wanaotakiwa kupinga ni wapinzani.

Najiuliza bungeni kumbe ni ndiooo kwa kila jambo linaloletwa na serikali hata kama halina maslai kwa taifa


Hawa ndo wale wa NAUNGA MKONO 100% halafu akiendelea kuchangia anakosoa madudu mwanzo mwisho. Kumbe ndo haya??????>>>>>>
 
Umesikia nape

1. Ni haki ya kila mbunge kuibana serikali kisawasawa ili itekeleze ahadi zake kwa wananchi waliowachagua. Hiyo ndiyo kazi ya mbunge yeyote awe wa ccm au wa upinzani (Nape, 2012)
2. Wabunge Wabaneni Mawaziri kisawasawa, wasidhani kuwa uwaziri ni kazi rahisi (JK,2011)
 
1. Ni haki ya kila mbunge kuibana serikali kisawasawa ili itekeleze ahadi zake kwa wananchi waliowachagua. Hiyo ndiyo kazi ya mbunge yeyote awe wa ccm au wa upinzani (Nape, 2012)
2. Wabunge Wabaneni Mawaziri kisawasawa, wasidhani kuwa uwaziri ni kazi rahisi (JK,2011)
Ndugai kakurupuka kama wafanyavyo viongozi wengi tu wa sirikali ya ccm.
Akili kidogo + mdomo mwingi + Ushabiki wa kisiasa = UDHAIFU!
 
Back
Top Bottom