Ndugai, Masele anasema anakuja, bila shaka hiki ni kipindi chako cha mwisho cha uspika, maandishi yako ukutani

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
11,975
20,614
Ni wazi kwa line-up ya Bunge imeshapangwa tayari.
Huku Dk. Tulia,kule Steven Masele

Kinachofanyika sasa ni kumbomoa spika Ndugai kutokea ndani,tayari kwa upande wa wabinge wa upinzani ameshabomoka, sasa anabomolewa katika jamii tena ubomoaji unafanyika katika Mazingira ambayo Mwenyekiti wake wa Chama yupo,au Ndugai ana taarifa kwamba Mwenyekiti wake alizipata

Ilianza kwa Masele,Masele alikuwa na Mawasiliano na Wakuu wa juu kabisa nchini waliomwambia ampuuze tu

Sasa fataki nyingine ya imetoka mbele ya Mwenyekiti wa Chama,safari hii ikivurumishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ndugu Makonda,na hapohapo akapewa safari ya kwenda Misri na Mwenyekiti wa Chama can Mapinduzi,ambaye ndiye ana nguvu kubwa ya kuteua spika.

Ndugai anabomolewa kwa umakini mkubwa,mpaka akija kushtuka,atakuta manyoya tu pale Bungeni
 
Back
Top Bottom