Ndugai kikaangoni, sakata la kinga dhidi ya Spika wa Bunge laibuliwa

Inashangaza sana nasikia hata jaji mkuu anakinga ya kutoshtakiwa.kuna nini?
Hapa kwetu ni mahala palipojaa watu wanaoishi na kujivunia UNAFIKI.
Ninauona mkono wa Mungu ukifanya kazi KUUANIKA uongozi wote uliyopo kwani HAUFAI wala haustahili kuendelea kuwepo....kwa sababu wote wamefanya dhambi, na kupungukiwa na utukufu wa Mungu;Rum 3:23 AMEN
 
"Ni wakati kama nchi kujiuliza ni kitu gani kilipelekea Ndugai ajiweke katika viongozi wasioshtakiwa kwa lolote atakalofanya.
Spika amejiweka sawa na Rais eti hashtakiwi, sheria kama hii ndio wakati mwingine zinawafanya watu aina ya Ndungai kujiona wapo sawa na Rais" MNEC Haji Jumaa

"Tunataka wabunge walione hili la Ndugai kujiweka katika viongozi wasioshtakiwa, wajiulize aliogopa nini hali yeye ni spika mpaka asishitakiwe?

Ikumbukwe kuwa spika tayari ana kinga ya Bunge si mahakama wala chombo chochote kinachoweza kuhoji maamuzi ya Bunge" MNEC Haji Juma

"Sasa hii kinga ya nje ya Bunge ya kutoshtakiwa kwa spika nini mantiki yake. Nadhani ni wakati kulitafakari kwamba, nini kilijificha nyuma ya sheria hii (ya Spika kutoshitakiwa Kwa lolote)" Haji Jumaa, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kutoka Mkoa wa Pwani
Wote waondolewe Kinga.

Kwani Raisi ni Mungu mpaka awe na kinga?

Ni upumbavu tu.
 
Kinadharia hata Korea kaskazini mihimili inatambulika iko sawa lakini kivitendo hata Marekani mihimili hiyo haiwezi kuwa sawa.

Kitendo cha katiba kumpa Rais ukuu wa nchi ni mamlaka yasiweza kukasimiwa na yeyote zaidi yake na mamlaka hayo ndio yanaeleza ukuu wa cheo chake.

Rais kama mkuu wa nchi ana hadhi tofauti na wakuu wengine wa mihimili hivyo mamlaka yake inaenda mbali sana. Rais kama mkuu wa nchi hapaswi kukosolewa kihuni na mara nyingi amekuwa akisema uhuru wako unapoishia, uhuru wa mwingine ndio unaanzia. Mamlaka ya mkuu wa bunge, mahakama na serikali unapoishia ndio mamlaka ya mkuu wa nchi yanaanzia.
Wakati Nancy Pelosi anachana Hotuba ya Donald Trump wewe ulikuwa haujazaliwa?

Hiyo marekani mnayopenda kuitolea mifano sijui ni marekani ya wapi.
 
Kinadharia hata Korea kaskazini mihimili inatambulika iko sawa lakini kivitendo hata Marekani mihimili hiyo haiwezi kuwa sawa.

Kitendo cha katiba kumpa Rais ukuu wa nchi ni mamlaka yasiweza kukasimiwa na yeyote zaidi yake na mamlaka hayo ndio yanaeleza ukuu wa cheo chake.

Rais kama mkuu wa nchi ana hadhi tofauti na wakuu wengine wa mihimili hivyo mamlaka yake inaenda mbali sana. Rais kama mkuu wa nchi hapaswi kukosolewa kihuni na mara nyingi amekuwa akisema uhuru wako unapoishia, uhuru wa mwingine ndio unaanzia. Mamlaka ya mkuu wa bunge, mahakama na serikali unapoishia ndio mamlaka ya mkuu wa nchi yanaanzia.
Huu upumbavu ulioandika hapa ndio unafanya nchi zetu haziendelei...
 
"Ni wakati kama nchi kujiuliza ni kitu gani kilipelekea Ndugai ajiweke katika viongozi wasioshtakiwa kwa lolote atakalofanya.
Spika amejiweka sawa na Rais eti hashtakiwi, sheria kama hii ndio wakati mwingine zinawafanya watu aina ya Ndungai kujiona wapo sawa na Rais" MNEC Haji Jumaa

"Tunataka wabunge walione hili la Ndugai kujiweka katika viongozi wasioshtakiwa, wajiulize aliogopa nini hali yeye ni spika mpaka asishitakiwe?

Ikumbukwe kuwa spika tayari ana kinga ya Bunge si mahakama wala chombo chochote kinachoweza kuhoji maamuzi ya Bunge" MNEC Haji Juma

"Sasa hii kinga ya nje ya Bunge ya kutoshtakiwa kwa spika nini mantiki yake. Nadhani ni wakati kulitafakari kwamba, nini kilijificha nyuma ya sheria hii (ya Spika kutoshitakiwa Kwa lolote)" Haji Jumaa, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kutoka Mkoa wa Pwani
Huyu MNEC alikua wapi? Ndiyo analijua leo? Wabunge wa CCM ndiyo walilipitisha hilo. Sheria hiyo isingepita bila kupitishwa bungeni. Bunge limepitisha sheria nyingi sana za hovyo kwa sababu ya uwingi wa wabunge wa CCM. Watanzania waamke na kuona haja ya kuwapeleka bungeni wawakilishi wao wenye uwezo wa kuchambua mambo. October 28, 2020, Magufuli aliamua kuwapeleka aliowataka yeye na CCM ikajitangaza imeshinda kwa 84% na Watanzania kwa uelewa wao mdogo wakashangilia kwamba CCM imeshinda kwa kishindo.
 
WaTz wameanza kujua kuwa (bado) hawajui
 
"Ni wakati kama nchi kujiuliza ni kitu gani kilipelekea Ndugai ajiweke katika viongozi wasioshtakiwa kwa lolote atakalofanya.
Spika amejiweka sawa na Rais eti hashtakiwi, sheria kama hii ndio wakati mwingine zinawafanya watu aina ya Ndungai kujiona wapo sawa na Rais" MNEC Haji Jumaa

"Tunataka wabunge walione hili la Ndugai kujiweka katika viongozi wasioshtakiwa, wajiulize aliogopa nini hali yeye ni spika mpaka asishitakiwe?

Ikumbukwe kuwa spika tayari ana kinga ya Bunge si mahakama wala chombo chochote kinachoweza kuhoji maamuzi ya Bunge" MNEC Haji Juma

"Sasa hii kinga ya nje ya Bunge ya kutoshtakiwa kwa spika nini mantiki yake. Nadhani ni wakati kulitafakari kwamba, nini kilijificha nyuma ya sheria hii (ya Spika kutoshitakiwa Kwa lolote)" Haji Jumaa, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kutoka Mkoa wa Pwani
"Haji Juma" what do you imply to mention your name in all paragraphs? maybe looking for a favor from the President. Just once sends a message
 
"Ni wakati kama nchi kujiuliza ni kitu gani kilipelekea Ndugai ajiweke katika viongozi wasioshtakiwa kwa lolote atakalofanya.
Spika amejiweka sawa na Rais eti hashtakiwi, sheria kama hii ndio wakati mwingine zinawafanya watu aina ya Ndungai kujiona wapo sawa na Rais" MNEC Haji Jumaa

"Tunataka wabunge walione hili la Ndugai kujiweka katika viongozi wasioshtakiwa, wajiulize aliogopa nini hali yeye ni spika mpaka asishitakiwe?

Ikumbukwe kuwa spika tayari ana kinga ya Bunge si mahakama wala chombo chochote kinachoweza kuhoji maamuzi ya Bunge" MNEC Haji Juma

"Sasa hii kinga ya nje ya Bunge ya kutoshtakiwa kwa spika nini mantiki yake. Nadhani ni wakati kulitafakari kwamba, nini kilijificha nyuma ya sheria hii (ya Spika kutoshitakiwa Kwa lolote)" Haji Jumaa, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kutoka Mkoa wa Pwani
Hata Jaji mkuu na PM kwanini wasishitiwe? hawa jamaa wamejificha kupiga pesa za umma
 
Kwa namna Magufuli na Ndugai walivyokuwa wameshibana hakukua na namna, Magufuli kupeleka muswada huu bungeni na Ndugai akaupokea kwa mikono miwili na kuanza kupiga kampeni ya "atake asitake aendelee".
Aliamini dikteta atapiga 2035 bila shida
 
Ndugai wakati wa utawala wa Magufuli alishiriki naye kufanya maovu mengi kama kudhulumu watu haki zao, kula njama ya kutaka kumuua mbunge mwenzake na baadaye kumdhulumu haki zake zote.

Pia Ndugai alishiriki katika ufisadi wa mabilioni ya fedha alivyoenda kutibiwa India na amekuwa akikitumia kiti chake cha uspika vibaya kwa kuwanyanyasa wabunge wengine hasa wa vyama vya upinzani.

Hivyo kwa madhambi yote hayo Ndugai alijiongeza na kuona kwamba kamwe hatakwepa mkono wa sheria pale ambapo Magufuli atakuwa hayupo hivyo tunasema kuna haja ya kuwa na katiba mpya ili kila mtu katika nchi hii awajibike mbele ya sheria bila kujali cheo chake ktk jamii.
 
"Ni wakati kama nchi kujiuliza ni kitu gani kilipelekea Ndugai ajiweke katika viongozi wasioshtakiwa kwa lolote atakalofanya.
Spika amejiweka sawa na Rais eti hashtakiwi, sheria kama hii ndio wakati mwingine zinawafanya watu aina ya Ndungai kujiona wapo sawa na Rais" MNEC Haji Jumaa

"Tunataka wabunge walione hili la Ndugai kujiweka katika viongozi wasioshtakiwa, wajiulize aliogopa nini hali yeye ni spika mpaka asishitakiwe?

Ikumbukwe kuwa spika tayari ana kinga ya Bunge si mahakama wala chombo chochote kinachoweza kuhoji maamuzi ya Bunge" MNEC Haji Juma

"Sasa hii kinga ya nje ya Bunge ya kutoshtakiwa kwa spika nini mantiki yake. Nadhani ni wakati kulitafakari kwamba, nini kilijificha nyuma ya sheria hii (ya Spika kutoshitakiwa Kwa lolote)" Haji Jumaa, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kutoka Mkoa wa Pwani
Hiyo Sheria ililetwa bungeni na wabunge wa CCM walipitisha hiyo sheriam Kwa nn hawakuhoji hayo?? Hiyo sheria haikuishia kumpa kinga Spika Tu Bali hata msajiri wa vyama vya siasa, waziri Mkuu na naibu spika walipewa kinga hiyo.
 
Kinadharia hata Korea kaskazini mihimili inatambulika iko sawa lakini kivitendo hata Marekani mihimili hiyo haiwezi kuwa sawa.

Kitendo cha katiba kumpa Rais ukuu wa nchi ni mamlaka yasiweza kukasimiwa na yeyote zaidi yake na mamlaka hayo ndio yanaeleza ukuu wa cheo chake.

Rais kama mkuu wa nchi ana hadhi tofauti na wakuu wengine wa mihimili hivyo mamlaka yake inaenda mbali sana. Rais kama mkuu wa nchi hapaswi kukosolewa kihuni na mara nyingi amekuwa akisema uhuru wako unapoishia, uhuru wa mwingine ndio unaanzia. Mamlaka ya mkuu wa bunge, mahakama na serikali unapoishia ndio mamlaka ya mkuu wa nchi yanaanzia.
1. Kama ulichagua kuwa MKRISTO na uwe mkristo kwa vitendo kama kwenda kanisani; ukichagua UISLAM na uwe muislam kwa vitendo - kama kwenda msikitini.
Ukiingia msikitini kila mara ili hali wewe ni mkristo, je tukueleweje?
2. Kama umeelewa na. (1) hapo juu; Tanzania ilichagua demokrasia ya vyama vingi, yenye misingi kadhaa kama utawala wa sheria (hakuna aliye juu ya shria), n.k.
Korea Kaskazini, wanaishi kadiri ya walivyochagua (usiwafananishe na Tz); aidha US wanaishi kadiri ya walivyochagua - rejea namna ambavyo mahakama inavyonyoosha njia pale ambapo serikali inapotaka kuleta konakona.
3. Kwa msingi wa hoja na. (2), Tanzania imechagua demokrasia ila inaishi 'udikteta'. Ilianza kwenye katiba Raisi kutokustakiwa, kinga ikawa tamu, na waandamizi 'wakamwomba' marehemu, naye akawapa kupitia sheria ya 'kihuni'.
 
MACHACHE KUHUSU JOB NDUGAI
1. Hakuwa Spika Mtenda Haki.
2. Aliua Ofisi ya Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni.
3. Alifukuza Wabunge wa Upinzani Bungeni kadiri alivyotaka.
4. Alimuita Mbunge aliyejiuzulu Ubunge (Cecil Mwambe) aendelee kukaa bungeni.
5. Aliwaruhusu waendelee kukaa bungeni Wabunge wawili waliofukuzwa uanachama na Kamati Kuu ya Chadema (Lijualikali na David Silinde)
6. Aligoma kuidhinisha fedha za matibabu ya Tundu Lissu
7. Alimfuta Ubunge Tundu Lissu
8. Aliruhusu Watu 19 wasio na vyama kuwapo Bungeni(akina Mdee)
 
Back
Top Bottom