Ndugai huu mwaka kaomba msamaha mara mbili kulikoni!!!?

Mishenyi

JF-Expert Member
Oct 6, 2019
464
748
Alianza kuomba msamaha wakristu wote kwa kumsingizia Yesu kwamba alikuwa na mke,wakristu walimsamehe!!!

Mara nyingine kagusa pabaya,,amejaribu kumdharau rais kisa tu ni mwanamke hapa mfumo dume umemponza,,, ameomba msamaha ila naona msamaha umedunda!!! Je,ataomba msamaha kwa lipi tena???
 
Atamuomba msamaha Prof Musa Assad kwa yote aliyomfanyia. kuna watu ni wakweli na waadilifu ukikinzana nao jiandae na yatakayokukuta

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom