Ndugai busara yake ni kidogo Jaziba inamsumbua

Lugogo

JF-Expert Member
Sep 16, 2013
304
0
Kiongozi kama Ndugai leo tena karopoka.kamjibu wenje eti hana nidhamu pamoja na chadema wamamshambulia zzk.akasahau hata viongozi wake wa ccm kinana na nape ambao wanadai ---- mawaziri mizigo.
 

Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,532
2,000
Ndugai ni shida....anaringia sana uchawi alioachiwa na mamake
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom