singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Naungana na spika wabunge wetu wengi hawaeli kwanini wapo bungeni
hivi yeye ile kesi yake ya kupiga mtu fimbo ya kichwa iliishia wapi
Naungana na spika wabunge wetu wengi hawaeli kwanini wapo bungeni
hivi yeye ile kesi yake ya kupiga mtu fimbo ya kichwa iliishia wapi
Kama hawajielewi awachape bakora kama alivyofanya kwa yule mgombea mwenzake wakati wa mchujo wa ccm, watajielewa kwa kuchapwa bakora maana hakuna namna nyingine