Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,870
- 155,831
ZuzumagicKiukweli kwa kadri ya kumbukumbu zangu sijawahi kuona spika duni kama spika wa bunge la Tanzania , sasa sijui shida iko wapi , yaani anaona wivu hadi anakonda kwa Wanasheria kujiita "WANASHERIA WASOMI" kiasi cha kuanzisha mada bungeni ya kujadili jambo hili yaani !
Tutarajie muswada wa kufuta huo usomi hivi karibuni
View attachment 1920289