Ndugai anatumia mda na Pesa za Walipa Kodi Kumjadili Askofu Gwajima?

JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
4,694
2,000
Hivi inakuwaje Speaker Ndugai unakubari vipi kukaa kusikiliza na kutumia pesa za watanzania na mda wa watanzania kujadili kauli za gwajima kanisani kwake?

Huku wananchi wanalia Maisha magumu, tozo kila kona, kwa nini usijikitee huko?.

Wewe unajiona je yani?. Hutaki hata kusimama na wana nchi hata kwa sekunde? Wasaidieni wananchi na changamoto za Maisha sio porojo.

Gwajima anawattu wengi sana Nyuma yake kuhusu chanjo, na watu hawachanji hata nyie huko mnaona.. Usipokuwa makini utakuwa speaker wa kuzalauliwa Maisha yote.
 
ngebe

JF-Expert Member
Jun 8, 2020
1,364
2,000
Jamaa lenu limeombwa ushahidi likakosa, linasingizia ni mambo ya kiroho
IMG_20210831_123421.jpg
 
Consultant

JF-Expert Member
Jun 15, 2008
11,118
2,000
Hivi huko mashuleni mlienda somea ujunga.. !?
Mjinga ni yule asiyecross-check hata anachoandika kabla ya kuclick. "Ujunga" ndio nini wewe Mrundi? The whole saga ni ujinga mtupu.

Badala ya Bunge kujadili matatizo wanayoyapitia wananchi kwa sasa, wao wanakaa vikao kumjadili Gwajima kupinga chanjo? Chanjo zenyewe milioni moja, as if ndio muarobaini wa kuliondoa tatizo la UVIKO-19 nchini kwetu
 
Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
24,134
2,000
Mjinga ni yule asiyecross-check hata anachoandika kabla ya kuclick. Ujunga ndio nini wewe Mrundi? The whole saga ni ujinga mtupu.

Badala ya Bunge kujadiri matatizo wanayoyapitia wananchi kwa sasa, wao wanakaa vikao kumjadiri Gwajima kupinga chanjo? Chanjo zenyewe milioni moja, as if ndio muarobaini wa kuliondoa tatizo la UVIKO-19 nchini kwetu
Ujunga=...?
Kujadiri=..!?
Kumjadiri=..!?

Miimi mrundi sijayaelewa hayo maneno yapo kwenye lugha gani!?
Nisaidie then tuendelee
 
Consultant

JF-Expert Member
Jun 15, 2008
11,118
2,000
Ujunga=...?
Kujadiri=..!?
Kumjadiri=..!?

Miimi mrundi sijayaelewa hayo maneno yapo kwenye lugha gani!?
Nisaidie then tuendelee
Wewe kweli wa kutoka kwa Evariste Ndayishimiye. Kaangalie ulichoandika na utakutana na hayo. Na kama unasupport walichokifanya wana kamati ile ya Ndugai, basi wewe ni hamnazo wahedi.
 
ielewemitaa

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
5,482
2,000
Hivi inakuwaje Speaker Ndugai unakubari vipi kukaa kusikiliza na kutumia pesa za watanzania na mda wa watanzania kujadili kauli za gwajima kanisani kwake?

Huku wananchi wanalia Maisha magumu, tozo kila kona, kwa nini usijikitee huko?.

Wewe unajiona je yani?. Hutaki hata kusimama na wana nchi hata kwa sekunde? Wasaidieni wananchi na changamoto za Maisha sio porojo.

Gwajima anawattu wengi sana Nyuma yake kuhusu chanjo, na watu hawachanji hata nyie huko mnaona.. Usipokuwa makini utakuwa speaker wa kuzalauliwa Maisha yote.
Gwajima ni wakala tu, akishughulikiwa huyo wanakuwa wameshughulikiwa wengi na ujumbe umefika
 
ielewemitaa

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
5,482
2,000
Wewe kweli wa kutoka kwa Evariste Ndayishimiye. Kaangalie ulichoandika na utakutana na hayo. Na kama unasupport walichokifanya wana kamati ile ya Ndugai, basi wewe ni hamnazo wahedi.
Gwajima ni mbunge sasa ulitaka ashughulikiwe vip wakati huo ndio utaratibu
 
KingCobra95

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,766
2,000
Ndo muelewe kwanini waMarekani Wana 2nd amendment...Serikali isiogopa wananchi wake matokeo yake ndo haya
 
rodrick alexander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
10,873
2,000
Ndugai angekuwa na uchungu wa kodi za wananchi asingetumia mabilioni ya pesa kwa matibabu yake binafsi yasiyoeleweka
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom