Ndugai anaihujumu live serikali ya mkweree na CCM yake!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndugai anaihujumu live serikali ya mkweree na CCM yake!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yericko Nyerere, Jul 30, 2011.

 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  Jul 30, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,222
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  Ndugai anayejiita msomi na mzoefu aka mr misifa amedhihirisha hilo leo ktk mdahalo wa star tv!

  Kwakweli inasikitisha sana kwa bunge lililokuwa na heshima afrika sasa limekuwa kama kitengo cha propaganda cha ccm! Naibu spika tunaemtegemea aliongoze bunge ndiyo huyo mgonjwa wa akili?

  Mimi binafsi naamini anaihujumu live serikali ya mkweree!!
   
 2. C

  Che-lee JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 319
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  Sio kweli ila anaifichia makosa mengi sana serikali kiasi kwamba angekuwa legelege mkwerer ingeshakuwa qushney siku nyingi!
   
Loading...