Ndugai amvaa Sumaye, asema hana usafi wa kubeza posho!

Ndugai nakusikitikia sana, mbona kila jambo unaloongea linakua haliko sahihi katika masikio ya wengi? Hii yaonesha kua huwaga unajikurupukia na kuropoka bila kufikiri. Mara ya kwanza ishu ya posho ukajichanganya kwa kuongea tofauti na boss wako makinda; watu wa ofisi moja mnatofautiana kuonesha kua hamna ushirikiano wala good flow of informaion katika idara yenu. Na sasa wakurupuka na kumsema mtu badala ya kujibu hoja alizozitoa. Au umetumwa nini na hao waliokuweka pale kulinda maslahi yao. Kuwa makini otherwise hiyo 2015 waweza usirudi tena bungeni kama wapiga kura wako wakiendelea kukusikia ukiongea upuuzi kama huu.
 
Ndugai nakusikitikia sana, mbona kila jambo unaloongea linakua haliko sahihi katika masikio ya wengi? Hii yaonesha kua huwaga unajikurupukia na kuropoka bila kufikiri. Mara ya kwanza ishu ya posho ukajichanganya kwa kuongea tofauti na boss wako makinda; watu wa ofisi moja mnatofautiana kuonesha kua hamna ushirikiano wala good flow of informaion katika idara yenu. Na sasa wakurupuka na kumsema mtu badala ya kujibu hoja alizozitoa. Au umetumwa nini na hao waliokuweka pale kulinda maslahi yao.? Kuwa makini otherwise hiyo 2015 waweza usirudi tena bungeni kama wapiga kura wako wakiendelea kukusikia ukiongea upuuzi kama huu.
 
Hata kama Sumaye aliunga mkono suala la posho wakati wake si vibaya kwani hata serikali ilikuwa na pesa sio unaongeza posho wakati serikali ya sasa imefilisika hadi kukopa mabenki binafsi ili kujiendesha huo ni wehu sawa na kununua pombe kwa hela za mkopo
 
Natamani viongozi wote hapa nchini wange-step aside halafu tukawa na viongozi wapya kabisa, pengine mambo yangeenda angalau hata kwa muda mfupi hata kama ni mwezi mmoja.
 
hivi huyu anayejiita dk bana ana akili kweli?au anaropoka ropoka tu....na we ndugai maliza vidonge kwanza ndo uje kuongea ongea bana

Hapo kwenye Red Mkuu, unamaanisha vidonge vipi? DAWA? Kwani jamaa anaumwa?
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom