Ndugai amefuata utaratibu wa kujiuzulu Uspika kwa mujibu wa Katiba. Mbatia hayupo sahihi na kesi yake haina mashiko

Yaani we jamaa ni pimbi kwelikweli Tena hata pimbi ana akili we ni nyumbu kwani katiba inasemaje kuhusu hiyo taarifa iende original tu au hata copy? Ukionyesha katiba kama inataka origins basi umepona kama haijaonyesha wewe ni nyumbu tu na kwa taarifa yako katiba haijasema kama lazima iwe original
Dhana ni primarily intended recipient wa hio barua, uwe na akili wewe kibwengo au umelishwa lile tope la pepsi you are too infant for me.
 
Swali la kujiuluza ni Moja tu katibu wa bunge kapata barua au hajapata swala la origina au copy katiba haijasema acha u pimbi wewe
Katibu wa bunge sio mlengwa wa hio barua mlengwa ni KM kosa liko hapo, mlengwa apaswa kuwa katibu wa bunge
 
Elimu Elimu Elimu.

Bunge halijapokea Barua ya Taharifa ya Ndugai Kujiuzuru, Bali

Limepokea Nakala ya Barua ya Taharifa ya Jinsi Ndugai alivyomuandikia Katibu Mkuu wa Chama chake Kujiuzuru kwake Ubunge.

Hivyo Bunge lina Taharifa au nakala Ya Barua ambayo Ndugai alimuandikia Katibu wa CCM... na Katiba inataka taharifa azitoe Bungeni sio azitoe kwa Bunge.. katiba imetaja Bungeni.

Bunge na Bungeni ni vitu viwili tofauti kabisa.

Bunge ni Ofisi inayosimamia na kuendesha mijadala ya wabunge.

Bungeni ni Ukumbini mijadala ya Wabunge inapojadiliwa.
 
Watu wanasema lile sio bunge la CCM ni bunge la wananchi sasa kwanini Ndugai amwandikie Chongolo.


Umeelewa au bado?
Sio bunge la CCM!....sawa.

Lakini mpaka sasa CCM ndio wamemteua Spika mpya.....Mh!

Ebu tuanzie hapo!
 
CCM haijamteua spika mpya.Imemteua mgombea wa CCM wa kiti cha Uspika.
Vyama vingine venye uwakilishi bungeni vinaweza pia kuteua wagombea wao.
 
Katiba imesema Kama anayejiuzulu ni Spika au Naibu Spika, basi barua inatakiwa kuwasilishwa bungeni kwa wabunge waliomchagua. Hivyo ilitakiwa spika Ndugai aitishe kikao Cha bunge kwaajili ya kuomba kujiuzulu uspika mbele ya wabunge waliomchagua na sio kutuma nakala.
 
Akili zetu sizielewi; tunamjadili aliyejiuzulu badala ya kumjadili aliyejitangaza na kuteuliwa kugombea kinyume cha utaratibu!!
Aliyejiuzulu kaamua mwenyewe kwa maslahi yake na ya waliomshinikiza!

Huyu ajae ndo ana madhara makubwa kwetu!

NB: Mbatia ajiandae kwenda mahakamani kupinga mchakato wa kumpata spika mpya!

Kingine muhimu mahakama itoe haki kwa kumuondolea kinga mtu aliyejiuzulu kwa utashi wake mwenyewe! Afutiwe kinga na mafao
 
Kikubwa ni Bunge kupata taarifa ya kujiuzulu kwake.

Suala la kukitaarifu chama kilichomdhamini ni hiyari yake na wala siyo kosa na haiathiri ukweli kuwa bunge limepewa taarifa ya kujiuzulu kwa spika na bunge lenyewe limekiri
woote ni MAZIGANYANGA tu hamtofautiani
 
Kumekuwa na mjadala kutoka baadhi ya watu mbalimbali mtandaoni juu ya kujiuzulu kwa aliyekuwa Spika Mh Job Ndugai...
Mimi nilidhani umeweka barua yake tuone hiyo wording kujridhisha kama imekidhi matakwa ya kikatiba au la, kumbe unaleta kitu tofauti?
 
Kumekuwa na mjadala kutoka baadhi ya watu mbalimbali mtandaoni juu ya kujiuzulu kwa aliyekuwa Spika Mh Job Nduga...
Zaidi ni kwamba Mh. Mbatia alitakiwa akafungue kesi ya kuzuia mchakato wa kumpata Spika mpya, kama kweli anaona yule wa zamani hajajiuzulu Kikatiba, na si kwenda kufungua kesi ya kumlazimisha aliyejiuzulu ajiuzulu kwa utaratibu anaoudhani kuwa ni sahihi.

Huyu mtu tayari ameshaacha kazi, tuseme akiamua hata kesho kwenda kupumzika miezi 6 Ulaya tutafanyaje, according to Mh Mbatia? Tutakaa bila spika kisa aliyekuwepo hajajiuzulu?
 
Elimu Elimu Elimu.

Bunge halijapokea Barua ya Taharifa ya Ndugai Kujiuzuru, Bali

Limepokea Nakala ya Barua ya Taharifa ya Jinsi Ndugai alivyomuandikia Katibu Mkuu wa Chama chake Kujiuzuru kwake Ubunge.

Hivyo Bunge lina Taharifa au nakala Ya Barua ambayo Ndugai alimuandikia Katibu wa CCM... na Katiba inataka taharifa azitoe Bungeni sio azitoe kwa Bunge.. katiba imetaja Bungeni.

Bunge na Bungeni ni vitu viwili tofauti kabisa.

Bunge ni Ofisi inayosimamia na kuendesha mijadala ya wabunge.

Bungeni ni Ukumbini mijadala ya Wabunge inapojadiliwa.
Barua ya Ndugai_1.jpg
 
1. Asante kiongozi. Umefanya vizuri kuambatanisha 'true copy of the original letter' iliyoandikwa tarehe 6/1/2022 na kuwa 'certified tarehe 29/1/2022'.
2. For interest sake, unadhani ilipelekwa bungeni kabla ya kuwa 'certified' au baada ya kuwa 'certified'?
Hizi zote ni salakasi zeny hivo hatushangai leo mkija na barua kuonesha udhaifu wenu! Wakati mwanzo huko mlikili nyie wenyewe tena kwa waandishi!
Screenshot_2022-01-31-11-24-54-38.jpg
JamiiForums-1303604737.jpg
 
Back
Top Bottom