Ndugai acha kumwiga Magufuli; Humfikii katu

Ninja

JF-Expert Member
Feb 5, 2010
348
535
Magufuli amethubutu kupambana na mfumo uliomweka madarakani huku akionyesha kuwa na dhamira ya kuwatetea watanzania. Sasa Ndugai ni kama unataka kuiga ujasiri wa Magufuli.

Ndugai unatoka povu la moshi kisa eti mabinti wawili Esther na Halima. Seriously!! Tena kuna wabunge wa kubebwa wanajifanya kutoka povu kuwakemea hawa mabinti wawili ambao wamegombea jimboni na wakashinda, tena majimbo ya kiume(mtanisamehe kwa leo watu wa 'gender').

Esther Bulaya na Halima Mdee 3 - 0 Bunge zima. Yaani Bunge zima limepigwa magoli na 'two intelligent young ladies'. Tatu bila.

Eti una msimamo, msimamo dhidi ya Esther na Halima kisa wamekuudhi, inasaidia nini watanzania? Hivi Ndugai ikifika 2020 tukukumbuke kwa lipi? Magufuli mimi binafsi tayari nina mengi ya kumkumbuka nayo; ikiwemo kuboresha huduma za jamii na nidhamu ya watumishi wa umma, je wewe Ndugai, Yaani unaongea hadi unataka kulia kisa wadada wawili!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Yaani kwa heshima ya huu mwezi naishia hapo, ningekuchanaje!!!!
 
Kweli mkuu unawezaje kumlinganisha Mh. Mdee na kile kimbilikimo cha vitu maalumu.
 
Kasema kutatokea constitutional crisis, hata mahakama haitaweza kuwarudisha. Wabongo tukiwa na madaraka tunapenda sana kuabudiwa na tunavyopenda kuitwa sijui mheshimiwa, prof. dr. Inabidi tufanye kama wazungu mtu aitwe jina lake, hakuna cha mheshimiwa, professor n.k ili tusiweke matabaka kwenye jamii. Either tutumie 'Ndugu' kama kipindi cha Nyerere
 
Dalili ya spika kutokua 'busy'. Halima na Esther ndio wabunge dizaini ya kina Malema na Ndlozi kule SA. Sio kina kibajaji wachumia tumbo. Mapovu meengi wanachoongea sifuri kabisa. Wanashangiliwa na zero IQ wenzao. Ovyooo.
 
Back
Top Bottom