Ninja
JF-Expert Member
- Feb 5, 2010
- 353
- 543
Magufuli amethubutu kupambana na mfumo uliomweka madarakani huku akionyesha kuwa na dhamira ya kuwatetea watanzania. Sasa Ndugai ni kama unataka kuiga ujasiri wa Magufuli.
Ndugai unatoka povu la moshi kisa eti mabinti wawili Esther na Halima. Seriously!! Tena kuna wabunge wa kubebwa wanajifanya kutoka povu kuwakemea hawa mabinti wawili ambao wamegombea jimboni na wakashinda, tena majimbo ya kiume(mtanisamehe kwa leo watu wa 'gender').
Esther Bulaya na Halima Mdee 3 - 0 Bunge zima. Yaani Bunge zima limepigwa magoli na 'two intelligent young ladies'. Tatu bila.
Eti una msimamo, msimamo dhidi ya Esther na Halima kisa wamekuudhi, inasaidia nini watanzania? Hivi Ndugai ikifika 2020 tukukumbuke kwa lipi? Magufuli mimi binafsi tayari nina mengi ya kumkumbuka nayo; ikiwemo kuboresha huduma za jamii na nidhamu ya watumishi wa umma, je wewe Ndugai, Yaani unaongea hadi unataka kulia kisa wadada wawili!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Yaani kwa heshima ya huu mwezi naishia hapo, ningekuchanaje!!!!