Ndoto | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndoto

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Buswelu, Sep 18, 2008.

 1. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2008
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Jamaa 1 alikuwa kila siku anaota panya wanacheza mpira akaenda kwa mganga...ili aziondoe hizo ndoto.Mganga akampa dawa ambayo alitakiwa anywe leo kama sharti ili ndoto ziishe.

  Jamaa akamwambia mganga mi sinywi leo ntakunywa kesho...alipo ulizwa kwanini akamwambia leo ndio fainali.
   
 2. Che Kalizozele

  Che Kalizozele JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2008
  Joined: Jul 20, 2008
  Messages: 778
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  asante mkuu.Umenikumbusha jamaa mmoja aliamshwa usiku ili aweze kujisomea kwani kesho yake walikuwa wanafanya mtihani.Baada ya kuamshwa jamaa akaanza kulaumu kwanini ameamshwa wakati ule.Alipoulizwa kwa nini anawaka wakati alisema aamshwe wakati ule,akasema unajua nilikuwa naota mwalimu ametuleta mtihani tutakaofanya kesho.Sasa pale mliponiamsha ndo mwalimu alikuwa anataka kuanza kutupa majibu ya mtihani.Jamaa alitamani alale tena labda ndoto itaendelea.
   
 3. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2008
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  This is a GREAT joke,nimecheka sana,hata mimi nisingekubali kuikosa FAINALI!
   
 4. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2008
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,741
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Baba 3 hii joke yako mbona inakidhi viwango iweke peke yake itasimama.
   
 5. M

  MgonjwaUkimwi JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 1,288
  Likes Received: 521
  Trophy Points: 280
  Mwingine alikuwa anaota akifanya mapenzi na njemba wake kipenzi aliyekuwa anaishi mji wa mbali. Wakati akiwa katikati kileleni katika ndoto kiranja wa bweni alilokuwa amelala akamwamsha akimwambia kwamba kengere ya kufanya usafi ilishapigwa kitambo. Dada alipoamka akamwambia yule kiranja "haiwezekani, lazima nimalizie kilele ndo nikafanye usafi", kilichoendelea yule dada akawa anayasokota mauno live katika jitihada za kumalizia kilele.
   
Loading...