Ndoto zingine sio

OME123

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,498
605
kuna jamaa mmoja alipata ajali akavunjika mkono mmoja baada yakuona maisha mgum akaamua kwenda kujiua,akapanda juu ili ajtupe chini akiwa juu gafla akamuona mtu chini akiwa amekatika mikono yote anarukaruka kwa furaha akashuka kwenda kumuliza inakuaje auna mikono yote alafu una furahi jamaa akamjibu na furaha wapi wakati mwenzio ****** unawasha nashindwa kujikuna.
 
Du ni nouma, hapo ndo umuhimu wa kila kiungo unaonekana
 
Inafundisha ni sawa na ile methali isemayo ukiona kwako kunafuka kwa mwenzako kunawaka moto
 
Back
Top Bottom