Ndoto zangu za kuwa TISS zinafifia na umri unanitupa mkono

Wale walinzi wa viongozi na wanaolinda maeneo maalumu kama ikulu, airports,bandari nk ndio wana ajira ya moja kwa moja kutoka TISS kitengo cha PSU(presidential security unit) hawa hujulikana na wengi huonekana kama kwne misafara nk....pia Kuna agents(mawakala) Hawa ajira zao hazitoki moja kwa moja TISS kazi yao kubwa nikukusanya taarifa kutoka maeneo yao husika wengine madaktari wapo hospitali awa ajira yao na mshahara hulipwa na wizara ya Afya n.k.....

Asante sana Mkuu kwa huu Ufafanuzi wako na hii Elimu yako Kubwa juu ya hawa Wana Usalama wa Taifa, Utendaji Wao na Idara yao nzima Nyeti.
 
Fanya kazi za kujitegemea siyo kazi za kukusanya na kupelekea watu umbea. Kazi za umbea waachie ke.
Wakubwa shikamooni,

Tangu nkiwa mtoto nilikuwa sana navutiwa na kazi ya Usalama wa Taifa yaani nikiwaona wanavyofanya kazi zao kwenye misafara ya viongozi navutiwa sana kuwa mmoja wao na niliamini ipo siku nitakuwa lakini mpaka leo sijona dira kabisa na umri unayoyoma kwa sasa nina miaka 26 degree holder nimeajiriwa sekta binafsi.

Nadhan baada ya miaka miwili nitapoteza sifa kabisa kwa kigezo cha umri. Rai yangu kama kuna yoyote anaweza kuniunganisha anisaidie nitimize ndoto zangu katika kulitumikia taifa langu
 
HUWA MNAANDIKA HIVYO BILA KUELEZEA KWA UNDANI BAADA YAAKUJIUNGA WHAT NEXT
Mwambie akishajiunga ccm awe kimbelembele na kujipendekeza sana kwa viongozi,awe mtiiifu sana ..na awe anapenda kushinda mitaa ya lumumba kule mnazi mmoja,mambo mengine yatajiseti
 
Mwambie akishajiunga ccm awe kimbelembele na kujipendekeza sana kwa viongozi,awe mtiiifu sana ..na awe anapenda kushinda mitaa ya lumumba kule mnazi mmoja,mambo mengine yatajiseti
Asisahau kuhusu mbowe,,mbowe Ni mtu hatari Sana,amkemee kwa nguvu zote,,tutamuona haraka sana
 
Mwambie akishajiunga ccm awe kimbelembele na kujipendekeza sana kwa viongozi,awe mtiiifu sana ..na awe anapenda kushinda mitaa ya lumumba kule mnazi mmoja,mambo mengine yatajiseti
HAPO NDO UMEMPOTEZA KABISA KAMA YUPO MKOANI?????
NA JE HPOLEPOLE EX TS NDIYO RECRUITER AU???/
 
Kweli tuko tofauti kweli na huu utofauti diversity ndio unafanya dunia isogee wakati Mwingine akitamani kuwa Na pesa ndefu asafiri na awe na uhuru wa kutosha mwingine anatamani kubanwa na kuwa nyuma nyuma tu inashangaza
Ndivyo maisha yalivyo mkuu
 
Wakubwa shikamooni,

Nadhan baada ya miaka miwili nitapoteza sifa kabisa kwa kigezo cha umri. Rai yangu kama kuna yoyote anaweza kuniunganisha anisaidie nitimize ndoto zangu katika kulitumikia taifa langu
Kuajiriwa na hawa jamaa inachukua long time. Kuanzia vetting mpaka kufuatwa ni process ndefu. Anyway, wenyewe wamekuona na wamekusikia na watakufuatilia
 
Asante,
HII NI KWA WATUMISHI WA SERIKALINI PEKEE

habari Banc ABC (African Banking Corporation) tunakukaribisha uweze kujipatia mkopo

Vigezo vya kupata mkopo wa fedha kwa watumishi wa Umma.
1. Uwe na copy ya kitambulisho cha kazi
2. Uwe na copy ya kitambulisho c'ha taifa.
3. Salary slip moja ya mwezi uliopita.
4. Bank statement (miezi mitatu)
5. Passport size moja tu.

Kima cha chini cha mkopo ni kuanzia Tsh. 500,000 na kima cha mwisho cha kukopa ni 40,000,000.

Muda wa marejesho ni kuanzia miezi 6 mpaka miezi 96 (miaka nane). Utachagua mwenyewe unahitaji mkopo wa muda gani.
Huduma ni popote Tanzania.

pia riba yetu ni asilimia 1.4 kwa mwezi na asilimia 17 kwa mwaka
pia kwa wale wenye mikopo sehemu nyingine inawahusu pia ukiwa na uhitaji tunauwezo wa kununua deni ulilokopa...

mawasiliano zaidi piga 0692449416

karibuni sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom