cute mimi22
Member
- Nov 13, 2016
- 46
- 19
Habari wana jf.niliwahi andika napenda kuwa model asanteni wote kwa ushauri mlionipa kwa sasa ndoto zangu zimeanza kutimia asante kwa wote mlionipa ushauri na kama MTU yyte atapenda kufanya kazi na Mimi or mwenye nia ya kuwa model karibu pm tusaidiane