Ndoto za urais za Makamba na Mwigulu zaanza kufutika

General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
15,300
23,022
Wakuu habari.

Kama tunavyojuaa vijana hawa wa CCM January Makamba na Mwigulu Nchemba ambao walikuwa wanausaka urais kwa spidi ya mwanga sasa zaanza kufutikaa.Inasemekana kwamba vigogo hawa ni moja ya watu ambao Magufuli hataki kuwasikia katika serikali yake na hata kwenye chama chake kwenye nafasi mbalimbali.

Vyanzo vya kutoaminika kwa Rais Magufuli ni kambi zao ambazo watazitengeneza kwa ajili ya urais 2025.Pia kundi lao la utiifu toka msoga ambapo magufuli hataki kusikia katika uongozi wake.

Inajulikana wazi Magufuli alimshutumu Mwigulu tangu kipindi cha kampeni kuwa anamhujumu kwa kufanya kampeni za matusi.

Nawasilisha.
 
Makamba hashikiki ni wamoto labda Mwigulu. Makamba he's generous yule jamaa na Uwaziri atapewa
 
At least umesema "vyanzo visivyoaminika"

Binafsi hawa makamba na Nchemba siwakubali kabisa ila huwezi jua JPM anaweza pokea kimemo akampa mtu hata unaibu waziri. Kila boss ana boss wake
 
Kituko ni BAVICHA kujadili yaliyo ndani ya wapinzani wao! Ndo hoja pekee walizobaki nazo!
 
Baraza likitangazwa kuna wanaJF wengi watalazwa hospital

Nakuunga mkono, bavicha kila wanapogusa panaenda kinyume na matarajio yao, MAKAMANDA wasubiri kupelekwa hospitali kulazwa kwa kuwa 'dissappoited'! Januari ni full waziri, pia Mwigulu! Sitoshangaa hata Polepole kama atapewa kawadhifa!
 
Ni kweli.. nasikia wale mawaziri wateule wa JK, hasa hao wawili January na Mwigulu, Mh. Rais Magufuli hata kuwasikia tu HAWATAKIIIII... sisi pia tunafurahiiii sana, sbb wananchi hawawapendi kabisa hao ktk baraza la mawaziri... wabakie wabunge tu...

Magufuli lazima aje na baraza lake, la kiutendaji, kama akina Kagasheki, Aggrey Mwanri, Dr. Ndelichako, sio hao wasio watendaji, kazi wanacheza na media tu... but sio watendaji
 
Wakuu habari.

Kama tunavyojuaa vijana hawa wa CCM January Makamba na Mwigulu Nchemba ambao walikuwa wanausaka urais kwa spidi ya mwanga sasa zaanza kufutikaa.Inasemekana kwamba vigogo hawa ni moja ya watu ambao Magufuli hataki kuwasikia katika serikali yake na hata kwenye chama chake kwenye nafasi mbalimbali.

Vyanzo vya kutoaminika kwa Rais Magufuli ni kambi zao ambazo watazitengeneza kwa ajili ya urais 2025.Pia kundi lao la utiifu toka msoga ambapo magufuli hataki kusikia katika uongozi wake.

Inajulikana wazi Magufuli alimshutumu Mwigulu tangu kipindi cha kampeni kuwa anamhujumu kwa kufanya kampeni za matusi.

Nawasilisha.
Kweli wewe Ibilisi,kama lilivyo jina lako.
 
kwenye biblia, ibilisi anatajwa kuwa ni baba wa uongo yaani mwanzilishi wa uongo. jihadhari, hapa tena ametutembelea akiwa katika ubora wake.
 
Nikisikia neno Makamba nahisi kichefuchefu!!!!!!! Hii familia ndiyo imempotosha JK. Baba na watoto wote ni waswahili sana na wanafiki.
 
Back
Top Bottom