Ndoto za kupaa na kuelea hewani zinaashiria nini?

Ndoto huwa zina source tatu;

1. Mungu kupitia Roho mtakatifu - Mf, Yusuph aliota asimuache Bikira Maria, Yusufu aliota kuambiwa akimbie nchi maana Farao alikuwa anataka kuua watoto, Yakobo aliota kuona mlango wa mbingu malaika wakipanda na kushuka, Yosefu aliota akiwa mdogo miganda ya ndugu zake ikimuinamia na alitafsiri ndoto ya mfalme, Mungu anaongea hadi sasa kupitia ndoto

2. Mwanadamu - Day to day activities

3. Shetani - Za vitisho

KUPAA ANGANI - Inaashiria kutawaliwa na wachawi, shambulizi la kiroho, yaani kwamba huenda ukachanganyikiwa.

Solution; Kana na kufuta kila aina ya matambiko ya kichawi na mahusiano yake ukiomba kwa zaburi 71.

Kama hujampokea Yesu omba sala hii;

Bwana Yesu nakuja mbele zako, mimi ni mwenye dhambi, ninakiri wewe ni mwana wa Mungu, ulikuja katika mwili na ukafa kwa ajili ya dhambi zangu. Nitakase na damu yako. Asante Yesu.
Amen.
 
Hii ndoto naota mara nyingi napaa angani ina maana gani?
Nashindwa kuelewa kwani naiota mara nyingi sana nimetafuta maana yake nashindwa kupata jibu,nanyoosha mikono juu nakunja magoti kidogo,nikiinua magoti napaa na watu wengi wanakuja kushuhudia hilo,,maana yake nini ndugu zangu

Da usikute unachukuliwa na sangoma kumsaidia kuwanga,nenda kaombewe bhana usije ukaanza kututokea members wenzako humu, nijuavyo mm wanga ndo wanaopaa SASA HIVI UTAANZA KULOGA WEWE
 
Last edited by a moderator:
Kuota unapaa angani maana inauhusiano na kipato/matumizi yaani ina kuonya kutumia kupita uwezo wako.matumizi unayo fanya ni sawa na kujaribu kupaa angani .mwana liangalie pochi lako ukame wa fwezwa unakunyemelea punguza mahongaji!
 
Hii ndoto naota mara nyingi napaa angani ina maana gani?
Nashindwa kuelewa kwani naiota mara nyingi sana nimetafuta maana yake nashindwa kupata jibu,nanyoosha mikono juu nakunja magoti kidogo,nikiinua magoti napaa na watu wengi wanakuja kushuhudia hilo,,maana yake nini ndugu zangu

director1

The Meaning of Flying Dreams:

The meaning of flying in dreams is usually very positive. Most people experience the flying sensation as being pleasant. It is usually accompanied by a feeling elation and freedom. It can predict that you will be soaring to new heights in your life.

Sometimes the meaning of flying in dreams is fear, especially if you have a fear of heights of falling. If you fall from a great height in a dream, it can symbolize enormous anxiety about the future or what you have. It would most certainly symbolize a fear of a fall from grace, but not necessarily predict one as not all dreams are prophetic in nature.

Dreams about flying can also symbolize freedom from troubles. It can literally mean that you are as free to fly as a bird. If you dream you are flying around in the sky, it may be represent the expansion or elevation of your spiritual life. Freud interpreted dreams of flying to mean the release of sexual tension.

If you do have such a dream, ask yourself what it is that you feel you are being released form. It may be a difficulty or emotional problem that has been plaguing you for some time. Many people who suffer from depression know that it is lifting because they experience the elation of a flying dream. The meaning of flying in dreams is almost always positive for those who suffer from mental illness.

One risk in a flying dream is that of flying too high. The myth of Icarus, from ancient Greece warns us not to fly too high. If you do have a flying dream where you have gone to heights you haven't before, then it is possible that you are being over egotistical.

If you feel you have left your body while dreaming and are flying around the room, it can sometimes mean that you are experiencing a health problem. Many people who consume codeine products and opiates will have dreams that they are flying or that they have left their body and are flying around the room.

From ancient times until now, flying dreams have also been known to mean that a person's soul has left the mortal planes and is meeting higher authorities on the astral planes. The Native Americans, the Babylonians, the Hindus, the Tibetan Buddhists and many other culture claims this light body, which is a mirror of our physical body, leaves the body during sleep and consorts with departed souls, angels, and beings that live in other dimensions.

Some people also dream that they are traveling to visit a loved one who is not with them. Often during these dreams, the person flying to the lover sees them in bed. So if you have a dream about flying, then it is possible you are participating in a bit of astral travel. Many people purposefully try to dream they will visit a lover during the night by telling themselves they will envision it before they go to sleep.

If he dreams this often it is a sign of increasing prosperity and the fulfilment of desires.
 
We ni mwanga tu, kwa nini usiote umenunua gari kama unafanya kazi kwa bidii. Mara nyingi ndoto huendana na matendo ya mhusika sina shaka kuwa we ni mwanga wa ukweli!
 
Kuota unapaa angani maana inauhusiano na kipato/matumizi yaani ina kuonya kutumia kupita uwezo wako.matumizi unayo fanya ni sawa na kujaribu kupaa angani .mwana liangalie pochi lako ukame wa fwezwa unakunyemelea punguza mahongaji!

Hahahahaha,,,,,acha kumtisha mkuu pochi na kupaa wapi na wapi me nadhani aliachiwa mikoba na bibi yake sasa amesahau kuitumia bibi ameona amwadhibu kwa kumning'niza huyu analoga huyu.
 
Last edited by a moderator:
mkuu sometimes tunayoyawaza ndio yanajenga ndoto zetu...

Ila ukiongea na wenye mambo ya nyota-nyota watasema unakaribia kufa

cheki afya, sleep with positive attitude nk

BTW, kupaa raha sana, mie huwa nikiota hivyo natamani ndoto isiishe
 
We ni mwanga tu, kwa nini usiote umenunua gari kama unafanya kazi kwa bidii. Mara nyingi ndoto huendana na matendo ya mhusika sina shaka kuwa we ni mwanga wa ukweli!

uko sahihi mkuu haiwezekani apae kila cku af hiyo staili ya kukunja magoti kisha anachomoka mbona aruka mwenyewe tena anajiandaa huyu kaja kututisha tumwogope sasa imekula kwake ngoja wazee wa sala tumshushie fire lazima atanaswa uchi mahali
 
Last edited by a moderator:
Hii ndoto naota mara nyingi napaa angani ina maana gani?
Nashindwa kuelewa kwani naiota mara nyingi sana nimetafuta maana yake nashindwa kupata jibu,nanyoosha mikono juu nakunja magoti kidogo,nikiinua magoti napaa na watu wengi wanakuja kushuhudia hilo,,maana yake nini ndugu zangu

hata mimi nilikuwa naziota sasa siku hizi sizioti tena, ilikuwa raha na kama kweli vile
 
Hahahahaha,,,,,acha kumtisha mkuu pochi na kupaa wapi na wapi me nadhani aliachiwa mikoba na bibi yake sasa amesahau kuitumia bibi ameona amwadhibu kwa kumning'niza huyu analoga huyu.
Mwanangu kweli ,mi ndivyo nilivyoambiwa na mchawi mmoja nilipokuwa nageuka fast jet usiku. na kweli kipindi kile nilikuwa na' vya mchezo' mbali na wife zaidi ya viwili hivi halafu vilikuwa vina ni ATM kinoma!mara nimpangie nyumba nzima ,yule sijui wadogo wake hana karo skuli ingawa anajifanya nimkopeshe lakini sikutarajiwa kulipwa na ndivyo ilvyoishia yaani ujinga kwa kwenda mbele!
 
Hii ndoto naota mara nyingi napaa angani ina maana gani?
Nashindwa kuelewa kwani naiota mara nyingi sana nimetafuta maana yake nashindwa kupata jibu,nanyoosha mikono juu nakunja magoti kidogo,nikiinua magoti napaa na watu wengi wanakuja kushuhudia hilo,,maana yake nini ndugu zangu

usiogope rafiki,hiyo wengi inawatokea hata mimi kuna kipindi naota,nami niliangaika kutafuta maana kama wewe mpaka nilipokutana na kitabu cha 'tafsiri ya ndoto' cha Mwingira.kinaeleza ina maana unakuwa una ruka vikwazo na majaribu yanayokusonga na yatakayokupata mbeleni,kwa kifupi utashinda matatizo na majaribu unayopitia,ni ufunuo usikate tamaa kwa yanakusumbua.
 
Mwanangu kweli ,mi ndivyo nilivyoambiwa na mchawi mmoja nilipokuwa nageuka fast jet usiku. na kweli kipindi kile nilikuwa na' vya mchezo' mbali na wife zaidi ya viwili hivi halafu vilikuwa vina ni ATM kinoma!mara nimpangie nyumba nzima ,yule sijui wadogo wake hana karo skuli ingawa anajifanya nimkopeshe lakini sikutarajiwa kulipwa na ndivyo ilvyoishia yaani ujinga kwa kwenda mbele!

hahahahaha,da mkuu kumbe na ww ulikuwa unachepuka, huyo mchawi noma tumia uzoefu wako kumtafsiria jamaa,sasa naamin vimada wanmtesa broo,hata hivyo ameshatoweka ameona soo.
 
Last edited by a moderator:
Juzi nilikuona wakati natoka mwanza na fast jet naenda dar ! Tulikukamata ukakimbia juu kwa juu
 
Unafundishwa uchawi (source: pastor mmoja hivi).
Mie nikiota ndoto yoyote ile, nikiamka namkemea shetani, namshukuru Mungu kwa ulinzi na kumuambia Mungu anionyeshe njia nitakayoiendea akiniongoza kama Bible inavyosema. Sijishughulishi kusaka utambuzi.
 
Ndoto huwa zina source tatu,1.Mungu kupitia Roho mtakatifu-mf,Yusuph aliota asimuache bikira maria,Yusufu aliota kuambiwa akimbie nchi maana farao alikuwa anataka kuua watoto,yakobo aliota kkuona mlango wa mbingu malaika wakipanda na kushuka,yosefu aliota akiwa mdogo miganda ya ndugu zake ikimuinamia na alitafsiri ndoto ya mfalme,Mungu anaongea hadi sasa kupitia ndoto 2.mwanadamu-day to day activities 3.shetani-za vitisho
KUPAA ANGANI -Inaashiria kutawaliwa na wachawi,shambulizi la kiroho,yaani kwamba huenda ukachanganyikiwa
solution;kana na kufuta kila aina ya matambiko ya kichawi na mahusiano yake ukiomba kwa zaburi 71
kama hujampokea Yesu omba sala hii
Bwana Yesu nakuja mbele zako,mimi ni mwenye dhambi,ninakili wewe ni mwana wa Mungu,ulikuja katika mwili na ukafa kwa ajili ya dhambi zangu.nitakase na damu yako.asante Yesu.amen.

Asante mtumishi
 
Hii ndoto naota mara nyingi napaa angani ina maana gani? Nashindwa kuelewa kwani naiota mara nyingi sana nimetafuta maana yake nashindwa kupata jibu,nanyoosha mikono juu nakunja magoti kidogo,nikiinua magoti napaa na watu wengi wanakuja kushuhudia hilo,,maana yake nini ndugu zangu.
Mimi pia nilikuwa naziota sana za namna hivyo mapaka nikawa naingia woga. Sikupata kujua maana yake nini!
 
Back
Top Bottom