Ndoto yenye ukweli

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,121
534
Tz inamatatizo mengi makubwa na yenye aibu sana ulimwenguni.
Na kiongozi wetu amekaa kimya,inamaanisha nini.
ukweli ni kwamba,asiye na jibu hajui anafanya nini.
Na si muda kitaeleweka!!!!!!!!

Una umri gani humu..................
Tz inamatatizo mengi makubwa na yenye aibu sana ulimwenguni.

Na kiongozi wetu amekaa kimya,inamaanisha nini.

ukweli ni kwamba,asiye na jibu hajui anafanya nini.

Na si muda kitaeleweka!!!!!!!!

Umeandika upupu uliochanganyika na utumbo. Bila shaka unafikiri kama wabunge wa DSM!

Similar Discussions

Back
Top Bottom