Ndoto yangu na mheshimiwa makamu wa raisi

ThatMan

Member
Joined
Jul 4, 2019
Messages
77
Points
125

ThatMan

Member
Joined Jul 4, 2019
77 125
Kwanza shikamoo mama, pili nikupe pole kwa majukumu ya kitaifa, ndoto niliyoota ni ya kuogopesha kidogo nimekaa nayo zaidi ya miezi mitano mpaka leo nimeamua kuisema, mama Kuna wadudu/watu wamefunga milango tuko ndani tunaumia ni wewe niliyekuona umekuja kutuokoa,natumahi wewe ni tegemeo letu
 

Forum statistics

Threads 1,343,537
Members 515,077
Posts 32,787,984
Top