Ndoto ya UKAWA ingetimia Mbingu zingefunguka

JERUSALEMU

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
3,106
3,523
Habari wana jamvi !!

Duniani kuna mambo na hakika nimeyaona kwa macho yangu.kampeni zimeisha na uchaguzi umefanyika na matokeo tumeyapata.ndoto ya watanzania imefutika ghafla.Huwezi kuamini kuwa umma mkubwa ule ulio jitokeza kufanya mabadiliko eti leo ndio umeshindwa.

Kama umma ule umeshindwa kihalai basi mapenzi ya Mungu na yatimizwe,kama hujuma imefanyika basi laana ya Mungu umfike yeyote aliye panga na kutekeleza mpango ule maana ameharibu sherehe iliyo kusudiwa kuwa KUU KULIKO ZOTE ZILIZO PATA KUTOKEA TANZANIA.

 
magufuli ni chaguo sahihi kabisa.. japokuwa ccm hatuipendi..

akituangusha na huyu ninahamia burundi tu kwa nkurunzinza
 
unafikiri Mungu ana akili chafu za kulaani watu kama zako? kisha unajiita Jerusalem wakati uko shallow kwenye biblia?

nyie mliishamweka Lowassa nafasi ya Mungu......mkamsujudia, mkasema chaguo la Mungu

leo unamkumbuka Mungu wa kweli?? pumbavu!
 
Back
Top Bottom