Ndoto ya shetani kwa walokole ni ndoto ya CCM kwa CHADEMA, hii yenu kwangu ni zaidi...

Umekuja na vina vya bongo fleva halafu umejichanganya huyo Kashinje Masanja alivyokupigia simu alivyokuambia unashambuliwa kwenye mtandanao wa Jamiiforums na wewe ukapokea mazima bila kufanya uchunguzi wako...hakuna watu waliokushambulia wakushambilie kwa lipi? Kwani wewe ni nani member mmoja labda mnajuana ndio alianzisha thread labda akakutaja...ukisema wewe unashambuliwa JF na Zitto atasemaje! wewe walikutaja tu mkuu.

Samahani mkuu wewe nani?
 
goooooood_halafu hao anawaita walokole wanafuatiliwa na shetani kwa sababu ni wanafiki...hawana lolote zaidi ya majisifu na majigambo ya kujifanya yesu na mungu ni wa kwao....anyway ngoja niwahi lunch ntarudi.
Laiti ungekuwa na uwezo wa kumuona shetani ukaamuuliza kuhusu walikole wanavyomtesa,angekwambia labda angekuomba msaada umsaidie maana walokole wanampelekesha mno.Have a nice lunch.
 
Laiti ungekuwa na uwezo wa kumuona shetani ukaamuuliza kuhusu walikole wanavyomtesa,angekwambia labda angekuomba msaada umsaidie maana walokole wanampelekesha mno.Have a nice lunch.

sikioni kitufe cha LIKE
 
Back
Top Bottom