Ndoto ya shetani kwa walokole ni ndoto ya CCM kwa CHADEMA, hii yenu kwangu ni zaidi... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndoto ya shetani kwa walokole ni ndoto ya CCM kwa CHADEMA, hii yenu kwangu ni zaidi...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nyakarungu, Aug 6, 2012.

 1. N

  Nyakarungu JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2012
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 449
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Waungwana, nisameheni bure kwa kupotea kwangu hapa ukurasani,, leo naja kwenu nikiwa na jibu fupi tu kwa wenye kudhani kuwa dunia ni duara kama chungwa la Tanga, no dunia ni umbo la tufe ndio maana hatuko sawa, kifkira na hata kimonekano wa nje...

  HOJA YANGU...Jana nimepigiwa simu na Kashinje Masanja akinijulisha kuwa ninatajwa na kushambuliwa katika mtandao wa jamiiForums kuwa mimi ni miongoni mwa waanzilishi wa chama kipya kiitwacho CHAUMA, akanitaka niingie ndani ya mtandao nijibu hoja hiyo, lakini nikajiuliza je ni sahihi kumuiga bata kwenda haja kubwa hadharani?

  Nikapata jibu hapana, pia they have to know am not a sophist so we cnt meet in oral battling, let them live with their argumentam domain till they see aparent superiorty power upon me, as long as am not an opportunistical politician so i cant battle wth spycherses, wanadhani kujulikana kwao ni mpaka wamchokoze anawazidi viwango vya fikra bila wao kusimama kwenye mawazo yao na kujua kwanini wako kama walivyo, nani awezae kuishi nje ya fikra zake kama socrate alivyosema.

  Tena watu hawa wanalala wakiota nife au nihame chama ili watimize ndoto zao za hila katika chama changu na taifa, watu hawa wana ndoto mbaya na haramu kama ndoto ambazo shetani anawaotea waliokoka, ni ndoto mbaya zaidi ya ndoto ambazo ccm wanawaotea chadema....

  Nyakarungu, Washa Taa Mchana 2011.

   
 2. e

  ebaeban JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 1,834
  Likes Received: 600
  Trophy Points: 280
  What are you talking?
   
 3. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2012
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,511
  Likes Received: 5,628
  Trophy Points: 280

  Ushindi wa adui hutegemea weakness yako! Tusiwape sababu na tusiwe sababu kufanikisha malengo binafsi bali taifa kupitia chama ulichoamua kukitumia kufanikisha ukombozi wa Taifa.Kudos ndugu!
   
 4. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Dont make noise_make newz plz.
   
 5. palalisote

  palalisote JF-Expert Member

  #5
  Aug 6, 2012
  Joined: Aug 4, 2010
  Messages: 8,352
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  kwanza umechemka sana

  1.dunia siyo ya duara ni ya mviringo
  2. hakuna walokole dunia hii ila wapo waliokata shauri tu
  3.kichwa cha habari hakiendani na ulichoandika
  4. hujatajajina lako halisi na kutuambia ni hoja gani uliambiwa uje ujibu humu jf
  5.kiingereza chako ni cha mtaani zaidi
   
 6. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #6
  Aug 6, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  goooooood_halafu hao anawaita walokole wanafuatiliwa na shetani kwa sababu ni wanafiki...hawana lolote zaidi ya majisifu na majigambo ya kujifanya yesu na mungu ni wa kwao....anyway ngoja niwahi lunch ntarudi.
   
 7. maria pia

  maria pia JF-Expert Member

  #7
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 24, 2012
  Messages: 516
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  napita...baadae nitarudi
   
 8. f

  findu fiki JF-Expert Member

  #8
  Aug 6, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 431
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mungu ni wetu wote Imani ni ya mtu binafsi.Hivyo usiwakejeli walokole.
   
 9. K

  Kakubilo Kasota Senior Member

  #9
  Aug 6, 2012
  Joined: Mar 14, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nimerudia mara kadhaa nione hiyo ndoto ya shetani kwa mlokole na ndoto ya ccm kwa CDM sijaona, inawezekana ulikuwa una post kwenye majamvi tofauti, unaweza kuja kivingine?
   
 10. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #10
  Aug 6, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Mkuu findu fiki_kitu gani so to speak,....if you read between lines you will get what i mean.....sina maana mbaya na walokole kwani nimezaliwa na kukulia kwenye ulokole,.....mmenye gu_mbilike mkulumba.
   
 11. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #11
  Aug 6, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kwani Nyakurungu ndio nani? Unataka kuhama chama gani? Mie naona nasoma makelele tu hata sijamuelewa mleta uzi.
   
 12. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #12
  Aug 6, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  NANI AMEKUAMBIA UJE UJIBU HOJA HUMU!??
  KWENI WEWE NI NANI!??
  NJOO BASI NA KA ID KAKO KA KWELI Nyakarungu
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Parata

  Parata JF-Expert Member

  #13
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 3,119
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  usiongee usilolijua mungu akusamehe mkuu
   
 14. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #14
  Aug 6, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,752
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Najua ninachoongea ndio maana nikaongea_Mungu akusamehe wewe unayesema sijui wakati mimi najua najua.
   
 15. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #15
  Aug 6, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Hii ni mara ya nane narudia kuisoma siielewi hii thread
   
 16. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #16
  Aug 6, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  nimesoma mara tatu nashindwa kuelewa,ulikuwa unataka kusema nini tukusaidie?
   
 17. m

  mayengo Member

  #17
  Aug 6, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bado sijaona!
   
 18. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #18
  Aug 6, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,076
  Likes Received: 1,812
  Trophy Points: 280
  mkuu unaweza ukanisaidia seriously huyu Nyakarungu ni nani..?! sio jina maarufu hapa JF as he claimed amepotea na kuomba radhi or kulisikia katika medani ya siasa.. au ni mpya.. katika medani ya siasa?!
   
 19. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #19
  Aug 6, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Mwenye thread ww ni nani? Unaposition gan ktk siasa za Tz na hasa CHADEMA? Ila usjie ukawa ni katibu wa tawi la CHADEMA kijijini alafu uje utupigie kelele hapa utadhan eti ni mbunge wa CDM au public figure wa chama.
   
 20. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #20
  Aug 6, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,076
  Likes Received: 1,812
  Trophy Points: 280
  mkuu Nyakarungu wewe ni nani.. wengine hatukufahamu ..?
   
Loading...