Ndoto ya Nova Kambota; Watanzania tujiandae kwa mabadiliko sasa yanakuja! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndoto ya Nova Kambota; Watanzania tujiandae kwa mabadiliko sasa yanakuja!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KAMBOTA, Jun 12, 2011.

 1. K

  KAMBOTA Senior Member

  #1
  Jun 12, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nimekuwa nikijihusisha na uandishi wa habari za siasa nchini kwa miaka mitano sasa , na nimekuwa nafatilia hali ya kisiasa nchini kwa muda sasa na kusema kweli kama kuna mtanzania anadhani mabadiliko hayaji anajiadanganya sana tena sana aniwie radhi nataka kumwambia ukweli unaouma masikioni mwake ambao ni "watanzania wana kiu ya mbadiliko , wamechoswa na mfumo gandamizi, wanataka mabadiliko na mabadiliko yako njiani yanakuja hakuna wa kuyazuia"

  Hivyo hii ni ndoto yangu iliyojikita kwenye uhalisia kuliko ushabiki natoa changamoto kwa wapinga mabadiliko kama wana moyo mgumu wajitahidi kuhudhuria maandamano ya chadema au waende chuo kikuu cha dar es salaam wakuzungumze upuuzi wao pale isha wataona wasomi watawafanya nini? halafu ndiyo waje hapa jamvini kubishana na mimi vinginevyo kuja hapa na stori kuwa sijui wananchi wa kijiji fulani wamerudisha kadi za chadema na kuchukua za ccm.....oooh sijui mkutano wa nape umejaa maelfu huu wote ni upuuzi ukweli wa mambo ni kuwa watanzania wanataka changes.

  Heri wanaolifahamu hili sasa kwa maana yatakapotimia hawatafadhaika sana kama hujaamua basi kata shauri leo ungana na wanaharakati wapigania mageuzi kina Mwanakijiji na wengineo......Naam! hii ndiyo ndoto yangu ya leo!
   
 2. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #2
  Jun 12, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  lowasa yupo NAIJERIA hana hata habari na mABADILIKO.
   
 3. Mlalahoi

  Mlalahoi JF-Expert Member

  #3
  Jun 12, 2011
  Joined: Aug 31, 2006
  Messages: 2,065
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  TEGEMEO LA WATANZANIA KWA KOMREDI KIKWETE; http://www.facebook.com/Kikwete/posts/457513146224
   
 4. k

  kipanga mlakuku Member

  #4
  Jun 12, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 92
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
   
 5. Mlalahoi

  Mlalahoi JF-Expert Member

  #5
  Jun 12, 2011
  Joined: Aug 31, 2006
  Messages: 2,065
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Huyu kijana ni mnafiki na mpenda umaarufu.Wakati wa kampeni alikuwa anajipendekeza sana kwa Kikwete,Mama Salma na CCM kwa ujumla.Nenda kwenye Facebook wall yake utaona ushahidi kamili.Sasa sijui ni utoto au kutojua siasa za "jipendekeze utumike",alitarajia pengine baada ya uchaguzi angekumbukwa kwa "kampeni zake binafsi".

  Hebu angalia post yake hii

  Novatus Kambota[h=6]KUSHUKA KISIASA KWA PADRE WILBROAD SLAA; kwa jinsi upepo wa kisiasa ulivyobadilika ghafla kwa padre Slaa ni dhahiri kuwa kile kinchoitwa kuporomoka kisiasa kwa Lyatonga Mrema kumeanza kumnyemelea kondoo huyu wa Bwana na sasa jinamizi hilo linategemewa kumuandama zaidi baada ya oktoba 31 kwani kwaq vyovyote hali inaonyesha Dr slaa si lolote wala chochote kwa komredi kikwete.[/h]22 October 2010 at 10:21
   
 6. Mlalahoi

  Mlalahoi JF-Expert Member

  #6
  Jun 12, 2011
  Joined: Aug 31, 2006
  Messages: 2,065
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Huyu ndiye mwenye ndoto ya mabadiliko?Mwangalie tena hapa
  [h=6]Novatus Kambota
  [/h]MIAKA MITANO YA KIKWETE NA UKUAJI WA DEMOKRASIA TANZANIA
  Miaka mitano ya Jakaya kikwete ina mengi yanayoonekana waziwazi ambayo yametuonyesha dira kitaifa lakini kati ya yote haya mimi navutwa na moja ambalo ni ukuaji wa demokrasia nchini ambapo sasa uhuru wa kisiasa umeongezeka pia uhuru wa kutoa maoni haya ni mambo muhimu kwa ujenzi wa taifa letu n...  08 October 2010 at 08:04   
 7. Tajy

  Tajy JF-Expert Member

  #7
  Jun 12, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 298
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Huu ni ukweli mtupu,sidhani mtanzania wa karne hii bado hafikirii mageuzi,mageuzi yanako mlangoni,cha muhimu watu wajiandae kwa mageuzi kiakili na kimtazamo!mtazamo wako uko sawa sawia
   
 8. k

  kipanga mlakuku Member

  #8
  Jun 12, 2011
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 92
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  aisee huyu dogo ana nini lakini? anadhani sisi tuna muda wa kusikiliza upuuzi wake? awapelekee ccm wenzake humu ni kwetu wapenda mabadiliko
   
 9. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #9
  Jun 12, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  naona kama kaikimbia post kaenda kuanzisha nyingine nini?
  teteteteet mbweeeeeeee mbweeeeeeeee kweli watu mashushushu
  mbweeeeeeeeeeeee
   
 10. K

  KAMBOTA Senior Member

  #10
  Jun 12, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nikihukumiwa kwa past yangu ni kweli sina hata haki ya kuzungumzia mabadiliko lakini nikihukumiwa kwa sura ya kibinadamu kwa mmana ya kutambua kosa na mabadiliko basi na haki ya kuyasema haya niliyoandika kwa maana haya ni matokeo ya kutambua kosa, kujifunza na kuzungumza ukweli katika maana yake. Sisemi kuwa CHADEMA wanipokee au CCM wanikubali bali nasema kuwa hizi ni zama za mabadiliko hata mzee Shibuda amesoma alama za nyakati na kabadilika hivyo wito wangu ni uleule kuwa mabadiliko ni lazima na yanakuja yapo njiani na mimi nimekuwa mfuasi wa mabadiliko sasa...ASANTENI SANA
   
 11. Mlalahoi

  Mlalahoi JF-Expert Member

  #11
  Jun 12, 2011
  Joined: Aug 31, 2006
  Messages: 2,065
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  [PHPNovatus's Profile · Vijana Zaidi's Profile · Novatus's Wall
  • [​IMG]

   [h=6]Novatus Kambotaposted toVijana Zaidi
   KWANINI NAMWITA KIKWETE BINGWA WA SIASA
   Mafanikio ya Jakaya kikwete kisiasa yametokana na yeye kuona ambapo wapinzani wameshindwa kuona amesoma matatizo ya watanzania, anajua kama kiongozi anapaswa kufanya nini?tofauti na wapinzani ambao hawaachi kulalama
   [/h]08 October 2010 at 07:58
  ][/PHP]
   
 12. K

  KAMBOTA Senior Member

  #12
  Jun 12, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nikihukumiwa kwa past yangu ni kweli sina hata haki ya kuzungumzia mabadiliko lakini nikihukumiwa kwa sura ya kibinadamu kwa mmana ya kutambua kosa na mabadiliko basi na haki ya kuyasema haya niliyoandika kwa maana haya ni matokeo ya kutambua kosa, kujifunza na kuzungumza ukweli katika maana yake. Sisemi kuwa CHADEMA wanipokee au CCM wanikubali bali nasema kuwa hizi ni zama za mabadiliko hata mzee Shibuda amesoma alama za nyakati na kabadilika hivyo wito wangu ni uleule kuwa mabadiliko ni lazima na yanakuja yapo njiani na mimi nimekuwa mfuasi wa mabadiliko sasa...ASANTENI SANA
   
 13. pascaldaudi

  pascaldaudi JF-Expert Member

  #13
  Jun 12, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 534
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mkuu umenena. Hata mimi siyo mshabiki sana wa vyama vya siasa, ila ninachokiona tofauti ya wapenda mabadiliko eg CHADEMA vs wasiopenda mabadiliko eg CCM ni kuwa wale wa CHADEMA wanaonekana kuwa na akili za uelewa, uzalendo uliootukuka, upeo wa kuona mbali, ari ya ulinzi wa rasilimali zetu, n.k na wale wasiopenda mabadiliko wanaonekana kuwa na mtindio wa ubongo, ubinafsi, mgando wa ubongo, wanafikiria leo zaidi kimaslahi yao wengine mfano wanalinda vyeo vyao kwa kujipendekeza japo kuwa wanafahamu ukweli. Ndiyo maana kwa sasa mpinga mabadiliko yeyote anachukuliwa kama punguani, fisadi na majina mengine yote mabaya anaitwa. Kama wewe ni mmoja wapo nakusihi badili mawazo yako, tetea maslahi ya walio wengi wanyonge wasiokuwa na hatia kuzaliwa Tanganyika!
   
 14. Mlalahoi

  Mlalahoi JF-Expert Member

  #14
  Jun 12, 2011
  Joined: Aug 31, 2006
  Messages: 2,065
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Bottom line is,huyu kijana na mnafiki wa daraja lwa kwanza.He's so much into seeking cheap popularity...eti sasa anadai he has a dream!!Hayo mabadiliko unayojifanya kuyapigia mstari yameletwa na hao uliokuwa ukiwakampenia mwaka jana?
   
 15. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #15
  Jun 12, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,438
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Vipi umekosa nafasi kumi za upendeleo za JK nini? Usikate tamaa endelea kumpa shavu may be he will think again..
   
 16. Mlalahoi

  Mlalahoi JF-Expert Member

  #16
  Jun 12, 2011
  Joined: Aug 31, 2006
  Messages: 2,065
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kumbuka kuwa umechangia sana kutufikisha hapa.Hivi umeshajiuliza ni makala zako za kinafiki ziiliiwezesha CCM kupata kura ngapi?Kwanini uchangie kushindwa kwa Chadema kisha ujifanye kuwasapoti sasa?

  Hivi unakumbuka maandiko yako dhidi ya JAMII FORUMS,RAIA MWEMA na MWANAHALISI?Unakumbuka ulivyowakemea waandishi kama Lula na Mbwambo na wengine?Umeshajaribu angalau kuwasiliana na vyombo hivyo vya habari au waandishi husika na kuwafahamisha kuwa ulipotoka?

  Nikupe ushauri mdogo tu kijana,ukitaka kuwa mwandishi mzuri epuka cheap popularity na ni lazima uwe na msimamo (yaani siimamia kile unachoamini).I hardly believe kuwa unaisapoti Chadema au hili wimbi la mabadiliko kwa dhati bali umesoma alama za nyakati na kugundua kuwa kuipigia vigeregere CCM kutakufanya uonekane chizi.
   
 17. K

  KAMBOTA Senior Member

  #17
  Jun 12, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mlalahoi naona una hasira sana na mimi tena yaelekea hupendi nizungumze nachokiamini sawaaaa mkuu, mimi nilichosema kuwa huu ni muda wa mabadiliko na mimi nakubali halihalisi wewe unataka kunilazimisha mimi na wana jf wengine kuwa mimi ni mtu mwenye fikra mgando tena kwa kutumia ushahidi wa maandiko yangu yaliyopita sasa naona hapa kuna hisia kuliko uhalisia ina maana wewe ungekuwa ofisini siku niliyochukua kadi ya chama fulani ungeninyima ? kwasababu nilikuwa mwana ccm? ...rejea Biblia takatifu..Bwana kama wewe ungehesabu maovu yetu nani angesimama?.. kisha rudi unihukumu vinginevyo jaribu kunisoma fanya utafiti kisha utabaini sasa hivi mimi ni mtu wa namna gani na mwenye mtazamo gani?
   
 18. pascaldaudi

  pascaldaudi JF-Expert Member

  #18
  Jun 12, 2011
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 534
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kweli JF ni kiboko, huyu jamaa nadhani analenga kuteka watu mawazo ili tumkubali baadaye aanze kuingiza sera zake. Kwa ufupi sasa watu ni waelewa kwa 100%, na wanafahamu in and out ya siasa za CCM kwa sasa, hata wa vijijini wanaelewa! Huyu kijana mpango wake wa kuheshimika JF ni ngumu. Ni mfinyu wa fikra.
   
 19. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #19
  Jun 12, 2011
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani kambota karibu sana na hongera kukubali kitkutumika bila kujua na wewe ukakubali na sasa unaangalia tuendako ni sahihi la sivyo watu wasingekuwa wanapigania mabadiliko. Good keep it up
   
 20. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #20
  Jun 12, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Ndoto yako inapelekana na na ndoto ya watanzania wengi
   
Loading...