Ndoto ya mume wangu inatuumiza mioyo, hatuelewi

emu tufafanulie ukizini na mama/baba maana yake ni nini mzee?? na mnyama je??
Unachotakiwa kujua cha kwanza ni kuwa shetani anaweza kutumia lango la ndoto kupandikiza vitu vyake.
Unachotakiwa ni kuomba toba na kunyunyuzia damu ya Yesu katika lango la ndoto ili shetani asiweze kulitumia tena,
Maana ya kwanza ni kuwa
Ukiota ndoto unazini au unafanya uasherati na ndugu yako inamaana kwamba tendo la kusali limekufa kwako,
Ulikua unasali na kujikabidhi kwa Mungu wako lakini umeanza kupata ugumu katika swala la Kusali.
Maana nyingine ni kuwa
Umeunganishwa kiagano na pepo la uzinifu.[


Note: ukizini na mama yako au baba yako maana inabadilika, au ukizini na mnyama maana inabadilika.
 
Ndoto husababishwa na mambo makuu mawili;
1. Shughuli za mchana au kuwazia jambo
2. Ndoto zingine ni maono/maonyo ya kiroho yatokanayo na Mungu/miungu.
Rejea ndoto ya Yusufu, Nebkadneza nk
 
Siamini kwenye Ndoto kiivyo, huwa naweza kuota usiku then ile ndoto ikanijia mchana kutwa but huwa nazipuuzia....nakushauri na wewe puuzia!

Huenda alikua anamtamani au labda ana muda hajagonga mzigo. Kuwa na Amani usitie shaka
 
Ni kweli, kuna kuaibika mbeleni awe makini.

Anaweza kwenda hata jela na yeye.

Maana mtu ukifanya mapenz na mtu unaunganishwa nae unakua mwili mmoja, sasa kuna hatar hata anaweza kwenda mahali pamoja na shemeji yake.

Solutions ni kumrudi Mungu wako tu na kufanya toba.
inaonyesha kuna jambo la fedheha lina kuja.

Awe makini.

ila kwenye hizi ndoto kuna upande wa pili yaani utatuzi alipewa mwambie akuambie ilivyoendelea awamu ya pili alionyeshwa nini?
 
Salaam.
Kwa wale walio Dar Es Salaam, hongereni na poleni kwa mvua.
Usiku wa kuamkia leo, mume wangu kaota ndoto ambayo kwakweli imetuacha vichwa vikiuma.
Ameota alikuwa anafanya mapenzi na shemeji yake (mke wa kaka yake) walikuwa wanafanya mapenzi hadharani kwenye garden huku watu wakishuhudia.
Baada ya hapo, akaanza kukiharishia, watu wakawa wanamshangaa.
Akashtuka usingizini huku akitweta Sana.
Kwenye ulimwengu halisi, huyo Dada, mke wa kaka yake yuko jela mwaka wa nne Sasa kwa kukamatwa na madawa ya kulevya.
Naombeni hekima yenu kwenye tafsiri ya ndoto hii
Kibiblia, kupitia zinaa watu huunganishwa na kuwa mwili mmoja. Kuwa utupu mbele za watu ni ishara ya kuabishwa. Maana ni kwamba aibu ileile aliyopata shemeji yake inamnyemelea. Anapaswa afanya maombi ya kufunga na kuomba kwa siku tatu hivi. Avunje kila roho zote za aibu na kushushwa chini. Kama ameokoka aombe kwa kunena kwa lugha muda mrefu ili Roho wa Mungu aonaye sirini amsaidie kuomba. Kama hajaokoka pia, ni bora kuwashirikisha watumishi wa Mungu kwa msaada wa maombi.
 
Vipi hajaarisha kitandani?maana huwa nasikia eti ukiona ndoto kitandani usiitumie
 
Back
Top Bottom