Ndoto ya Mji wa Kisasa wa Kigamboni

ZINDAGI

JF-Expert Member
Dec 5, 2015
1,117
1,428
Huu mradi umekua ukitwaja tangu miaka zaidi ya 10 iliyopita, mpaka leo hii wananchi wengi wameathirika hawajui hatma yao licha ya ahadi lukuki kwa maelekezo yasiyotekelezeka.
Hatujui uamuzi wa serikali ni upi juu ya mradi huu, tunaiomba serikali itoe maamuzi ili tuweze kumalizia vibanda vyetu kuepuka hasara ya bomoa bomoa
 

Attachments

  • cropped-KigamboniNewCity.jpg
    cropped-KigamboniNewCity.jpg
    29.2 KB · Views: 56
ukitawaliwa na ccm, ndoto ni lazima hawana vitendo, wakifanya kitendo lazima kiwe cha kipuuzi.
 
Back
Top Bottom