..Ndoto ya Kuoa Mke wa Pili inanijia Sana...

Yaani unaota wakati fununu zilizo chini ya zulia zinasoma huyo wa pili unae kitambo! Hapa wapima maji ya bahari kwa kutumia kidole.
 
shimo likitema bana,taaaaaabu kweli kiweli,ngaiye kidogo nipunguze matatizo .
 
Back
Top Bottom