Ndoto: Sehemu muhimu kwa afya ya hifadhi ya akili

Ufafanuzi wa ndoto umegawanyika.

Kwa mitazamo ya dini,
Mitazamo ya kisayansi,
Mitazamo ya kinyota na
Mitazamo ya kiutamaduni/ mila

Na kila mtu ameegemea katika kundi la mitazamo yake anayoiamini.
Wafu pekee ndio hawaoti na hawaoti kwakuwa hawana kumbukumbu tena na hawana kumbukumbu tena kwakuwa hawana uhai tena.

Kila binadamu kamili lazima awe na vivuli vitatu kukosa kuwa na vivuli vyote vitatu ni ulemavu wa kiroho sawa tu na kukosa kuota kabisa.

Ndoto za kawaida ni uchambuzi wa matukio ya siku nzima tuliyowaza kunena na kutenda, jana leo na mbeleni.

Ni katika mchakato wa kuchuja matukio ya kuhifadhi kwenye database ya ubongo ndio watu huota wakati huo mwili ukiwa katika dormance state. Ni vitu vinavyotokea bila ridhaa ya mhusika.

Mchakato mwingine wowote ufuatao wa ndoto za aina nyingine zile za wanga, wachawi, maono na taarifa msingi wake ni hizi ndoto asili ni katika mchakato wa huo wa kuchuja na kuchambua matukio ya kuchukua na kuacha ndio binadamu ama niseme kiumbe hai hupata mtimbwiliko uitwao ndoto.

Ni katika mnyambulisho huo wa matukio kunakuwa na matukio ya uhifadhi wa muda mfupi, muda wa kati na muda wa kudumu.

Matukio ya uhifadhi wa muda mfupi huishia katika mlango wa tano wa fahamu sawa na ndoto zake. Matukio ya muda wa kati huishia katika mlango wa sita sawa na ndoto zake. Angalia kuna ndoto za mwaka jana unaweza kuzikumbuka vizuri sana tofauti na ndoto za wiki iliyopita.

Vile vile na matukio ya kudumu huhifadhiwa kwenye mlango wa nane wa fahamu yakiwa yamechujwa hasa kwenye mlango wa saba na kuchambuliwa kwenye mlango wa sita matukio haya na ndoto zake huwa ni ya kudumu bila kujali umri wake.

Je ni kwanini kuna mchujo mkali kiasi hiki?

Chukulia database ya inavyowekewa ulinzi ili isiathiriwe na kirusi chochote.Basi hivyo ndivyo hali ilivyo kwenye software ya database ya ubongo.

Ubongo wako ndio data center, database ya kumbukumbu zako zote. Ukidisturb hiyo umekwisha.Vichaa na mwendawazimu huchezewa hapa, pakiguswa hapa ama pakiwa over loaded kuchanganyikiwa ni lazima.

Kwa ufahamu usiojua ni kwamba ndoto ndio maabara ya kupima kuchuja, kuchambua kuweka katika makundi husika aina za kumbukumbu za kutunzwa na ubongo. Asiyeota hana kumbukumbu na tafsiri yake ni moja tuu maabara yake haifanyi kazi.
 
Kila kitu kina misingi na uhalisia... Nimejikita kwenye hayo mawili
 
Nimeisoma maada na Naomba Nikuulize maswali,,
1.Ni kweli majini hayana kivuli?

2.Je ni kwa nini??

3.Kuna uhusiano gani kati yao na jua!! Kwa nini jua au Mwezi viwamulike na kusitokee kivuli??

4.Kuna watu Wanasema mtu anaweza kuiba kivuli cha mtu kichawi hii ni kweli??

5. Kivuli kina uhusiano gani na binadamu au ni sehemu gani ya binadamu??
 
Kiongozi Mshana,habari ya majukumu?
Naomba msaada wa tafsiri ya ndoto yangu hii upatapo nafasi.Alfajiri ya leo nimeota niko ndani ya nyumba ya baba yangu(ijapokuwa kiuhalisia nyumba halisi ya baba yangu na mithili ya nyumba niliyoota ni tofauti maana hana nyumba ya mithili hiyo) na katika ndoto hii nilikua na rafiki yangu wa kiume(ambaye kiuhalisia yupo kweli na tumesoma wote sekondari na hadi hivi sasa ni rafiki yangu) hapo nyumbani kwetu.Sasa katika ndoto hiyo nimeota mezani tunapoketi kifamilia kula chakula kuna sufuria kubwa limefunikwa kwa kisaani kidogo(kisosi) ambacho kilioneka kufuni sawia mdomo wa sufuria ile kubwa.Sasa katika kuzungukazunguka/kuchezacheza na rafiki yangu huyo nikatikisa sufuria hilo ambapo kisosi hicho kilikuwa kimefunikia na bahati mbaya kikataka kutumbukia,na hivyo nikawahi kwenda kukiopoa kisitumbukie na hamadi ndani ya sufuria nikaona kulikua na maji baridi na joka kubwa sana jeusi.Mimi na rafiki yangu tukaogopa naye rafiki akaanza kukimbia wakati huo mimi nikawa najaribu kutafuta kitu kikubwa ili kulifunika tena hilo sufuria ili joka hilo lisitoke likatudhuru.Lilikua joka jeusi lenye macho makubwa na mkiani linamkia mithili ya mkia wa samaki pia lina mapezi ya kuogelea kama samaki,pia lina meno makubwa yaliyo yametokeza mithili ya miba.Lakini sikufanikiwa,maana joka hilo lilitoka nje ya sufuria ile na kuelekea nje ya nyumba huku likipaa,halikuwa likitambaa.Hivyo nami nikafunga milango ya nyumba ya kutokea nje ili lisirudi ndani.Nilipofunga milango nikawa na jadili na mdogo wangu wa kike(ambaye mwanzo wa ndoto hakuweko ndotoni) kwamba nani na nani kati ya ndugu zetu aliye nje ya nyumba na anarejea ndani ya muda uke kwamba tumpe taharifa ili asije dhuriwa na joka lile.Pindi tunaendelea kuulizana ndipo nami nikashktuka usingizini.Nisichokumbuka nikwamba yule rafiki yangu alibaki ndani au alikimbilia nje ya nyumba.

Naomba msaada wa tafsiri ya ndoto hii kiongozi.Joka jeusi lililo mithili ya samaki mfano wa nyoka,liko ndani ya sufuria imewekwa maji nyumbani kwa baba yangu mzazi mezani tunapopatiaga chakula toka mimi napata akili hadi utu uzima huu.
Aisee hii ndoto yako ina mambo mengi kwa Wakati mmoja ni vigumu mno kukupa tafsiri ya moja kwa moja japo inaonesha wazi roho ilikuwa inavinjari dunia na kukutana na mambo mengi...
Nashauri uendelee kuifuatilia uone kama itajirudia tena
 
Sawa kiongozi.Bado haijajirudia na ikijirudia nitakupa mrejesho.
 
Uncomplished tasks.... Mitihani sio shule tuu... Shule inatumika kwakuwa imeshawekwa kwenye kumbukumbu ya kudumu
mi pia ninayo tena inakuwa paper ya hesabu tena za for 5 ,akili inaumia sana sana ,badae nakumbuka mbona niligraduate hadi masters ndo napata amani
 
Nini kinasababisha mtu kuota ndoto kisha akiamka ubongo hauikumbuki tena?

Hali hii huwa inanitokea mara kwa mara. Nikiota kuamka asbh siikumbuki ndoto na kumbukumbu haiji hata nijaribu kuvuta hisia kiasi gani.

Au unakuta nimeota ndoto, then nashtuka kutoka usingizini muda huohuo na nakitafakari nilichokiota then najiambia hii ndoto sitaisahau sababu nimeiwahi. Lakini nikilala tena kuja kuamka inakuwa imeshapotea na siwezi kuikumbuka tenaaa.

Nini tatizo hapa Mshana Jr
 
Wafu pekee ndio hawaoti na hawaoti kwakuwa hawana kumbukumbu tena na hawana kumbukumbu tena kwakuwa hawana uhai tena.

Kila binadamu kamili lazima awe na vivuli vitatu kukosa kuwa na vivuli vyote vitatu ni ulemavu wa kiroho sawa tu na kukosa kuota kabisa.

Ndoto za kawaida ni uchambuzi wa matukio ya siku nzima tuliyowaza kunena na kutenda, jana leo na mbeleni.

Ni katika mchakato wa kuchuja matukio ya kuhifadhi kwenye database ya ubongo ndio watu huota wakati huo mwili ukiwa katika dormance state. Ni vitu vinavyotokea bila ridhaa ya mhusika.

Mchakato mwingine wowote ufuatao wa ndoto za aina nyingine zile za wanga, wachawi, maono na taarifa msingi wake ni hizi ndoto asili ni katika mchakato wa huo wa kuchuja na kuchambua matukio ya kuchukua na kuacha ndio binadamu ama niseme kiumbe hai hupata mtimbwiliko uitwao ndoto.

Ni katika mnyambulisho huo wa matukio kunakuwa na matukio ya uhifadhi wa muda mfupi, muda wa kati na muda wa kudumu.

Matukio ya uhifadhi wa muda mfupi huishia katika mlango wa tano wa fahamu sawa na ndoto zake. Matukio ya muda wa kati huishia katika mlango wa sita sawa na ndoto zake. Angalia kuna ndoto za mwaka jana unaweza kuzikumbuka vizuri sana tofauti na ndoto za wiki iliyopita.

Vile vile na matukio ya kudumu huhifadhiwa kwenye mlango wa nane wa fahamu yakiwa yamechujwa hasa kwenye mlango wa saba na kuchambuliwa kwenye mlango wa sita matukio haya na ndoto zake huwa ni ya kudumu bila kujali umri wake.

Je ni kwanini kuna mchujo mkali kiasi hiki?

Chukulia database ya inavyowekewa ulinzi ili isiathiriwe na kirusi chochote.Basi hivyo ndivyo hali ilivyo kwenye software ya database ya ubongo.

Ubongo wako ndio data center, database ya kumbukumbu zako zote. Ukidisturb hiyo umekwisha.Vichaa na mwendawazimu huchezewa hapa, pakiguswa hapa ama pakiwa over loaded kuchanganyikiwa ni lazima.

Kwa ufahamu usiojua ni kwamba ndoto ndio maabara ya kupima kuchuja, kuchambua kuweka katika makundi husika aina za kumbukumbu za kutunzwa na ubongo. Asiyeota hana kumbukumbu na tafsiri yake ni moja tuu maabara yake haifanyi kazi.
Kweli kabisa
 
Niliwahi kuota nimemkimbiza mbaya wangu akatumbukia kwenye shimo refu!
Ili kumkomoa nilivua nguo nikatoa kikojoleo nikammwagia kojo nikaona haitoshi nikaamua kumnyea kabisa akaloa mikojo na mavi!
Ile nastuka usingizini nikakuta nimekojoa kitandani halafu nimejinyea
Mbaya zaidi ilikuwa ukweni kwenye msiba wa mamkwe!!!
 
Back
Top Bottom