Huwa naota ndoto za kipindi cha nyuma mara nipo kwenye mitihani nafanya wakati sijafanya Maandalizi, mara nipo bwenini chuoni..... Sipendi kweli... Kwann nisiote future yangu naota past tu.
Ni mapambano na mapigano ya kiroho ambayo kuna wakati unahusishwa moja kwa moja kimwili ukiwa usingizini... Jambo zuri ni kwamba unashindaMshana Jr ebu nisaidie ndoto zangu zinajirudia takribani miaka 15, huwa napigana vita, inaonekana ni miaka ya zamani sana. Katika vita huwa mm ni kiongozi wao, naua mamia ya maadui, nakua na nguvu za ajabu...kuna kipindi nakua nachoka sana mpaka nikiamka nakua nimechoka kweli na mapigo ya moyo yanaenda kasi.
Dah hii ni live ulilishwa kitu kibaya hasa nyama ya wafu ama kibudu... Tafuta dawa ya MAKATA itakata kila kituhivi karibuni nimeota nimekaa na watu ambao siwakumbuki tukijiandaa kula chakula ambacho pia ckikumbuki, ile nimeanza kula tu tumbo lilivurugika na hapo hapo nikashtuka tumbo likiwa linaniuma, baada ya kwenda kujisaidia kilitoka kinyesi kinachotoa harufu kali na toka ck hiyo tumbo langu halipo sawa kbsa. Ndoto hii inamaanisha nn mkuu?
ok! shukran sana mkuu, samahan naweza ipata wapi hii dawaDah hii ni live ulilishwa kitu kibaya hasa nyama ya wafu ama kibudu... Tafuta dawa ya MAKATA itakata kila kitu
Tanga inapatikana kwa wingi hasa usambaaniok! shukran sana mkuu, samahan naweza ipata wapi hii dawa
Mmh usiku una mengi ndugu yangu na ni ngumu kujua yoteMshana Jr swali nje ya mada, juzi usiku sanane nilisikia watu wanapiga miruzi mrainii njia ya nje ya nyumbani kwangu...hv nambie ni kina nani hao.... Maana tangu nizaliwe ndo mara ya kwanza kusikia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana hajawahi kunipata. Yani zamani nilikuwa naota mmoja sahivi ni wawili wananikimbiza.Mmmh.... Ngo'mbe mweusi? Anakupataga?
Yaan Mimi ndoto zangu szielew..Mara kwa Mara naota npo kweny maji meeng sa ingne naota nazama kabisa, sa ingne naota natembea juu ya maj(Mara moja moja) ila nyngi naota nazama afu maji meng sana,,,,,nitafsrie.....2)nmeota TEMBO mnyama amekja nymbn kwetu, cha ajabu tumemkmbia, tembo akatembea kvyake akaelekea barabarn cha ajabu yule tembo akakutana na watt wanacheza, hakuwadhuru, yaan yule tembo hakudhuru MTU, ckujua manake nlfkiria sana,,cjawah muwaza tembo, cjawah ota ndoto ya tembo,naomba unifafanulie