Ndoto: Sehemu muhimu kwa afya ya hifadhi ya akili

Mafanikio zaidi ya wengine aidha
Kielimu
Kimaisha
Kifedha nk
Hiiya Ikingo inanijia tofauti (japo ilikuwa kipindi cha nyuma kidogo).
Nikiwa nafukuzwa na mtu au mnyama akinikaribia najiambia akilini ngoja nipae ili asinikamate.
Mwanzoni nilikuwa nashikilia kitu ili nipae lakini baadae nikawa natandaza mikono kwa mabawa vile. Napaa hadi napojiona salama ndo nashuka. VIPI HII?

Ndoto ya aina hiyo hiyo inaweza kunitokea kisha akilini najiambia hapa naota ngoja niamke, na kweli najigeuza geuza na kuamka. KWANINI HIVI?

Zipo hali nyingi lakini sana nipate mwanga kwanza kwa hizi.

CC: Nature
 
Ni vita ile ile ya mapambano ya kiroho ambayo unaibuka mshindi
 
Nashukuru kwa kuwa na mimi niliwaza hivyo japo vita yenyewe siijui.

Lipo tatizo jingine ambalo nilishaota zaidi ya mara 3 kuwa katika nchi moja ya ulaya lakini sijawahi kufikia eneo linaloendana na nchi hizo(yaani najikuta nipo eneo la kawaida kama nipo kijijini kwetu tu).
Wakati mmoja sikufika huko baada ya chombo cha usafiri kuharibika angani na mimi kurudi chini na kukiacha. INAASHIRIA NINI?

Nb: Sina mawazo ya kufika nchi husika kwa maana siipendi tu basi; na pili sina kipato cha kuniwazisha hayo.
 
Roho huwa zinasafiri sisi tukiwa tumelala. Kuna mada yake nikiikumbuka heading takutag
 
Je ukiota unatukanana na mtu au unagombana na mtu (ndugu yako wa karibu) tafsiri yake ni nini
Mmh vingine huwa na sababu nyingi... Sometimes ni Kumbukumbu mrejesho tu ama kuna shida ya kweli kati yenu ama wazazi wenu
 
Daaah mimi kila siku naota, sijawahi acha kuota..
Na si ndoto moja, ni mbili hadi tatu l
 
Mshana kuna ndoto nimeota nabishana na mtu aliefariki kama mwaka hivi ni mtu naemfahamu hivi ina maana gani nimekuwa nikiitafakari pasina majibu,
 
mara nyingi huwa naota nipo ndani ya bonde kubwa refu, sometmes nipo kwa safari na hata hiyo sehemu siijui, , siku nyingine nikaota naitwa mbaka nikaamka na kuanza kuitika baadae nikashituka baada ya wenzangu kunituliza. Mkuu hii imekaaje tafadhali nisaidie mawazo & njia
 
Nitarejea
 
Mimi huwa naota nakimbizwa na ng'ombe mweusi hii ndoto imekuwa ikijirudia mara kwa mara toka nipo kidato cha sita mpaka leo hii ni zaidi ya miaka 10.
 
Back
Top Bottom