Basi usiku acha nipate shida kwenye ndoto...., eti kwa sababu mkuu wa mkoa wa arusha ni matilda buriani, acha nipambane na giza hilo nene... nataka kuvunja screen ya tv iliyokuwa inatangaza ...mpaka nashtuka, nakuta aa kumbe nilikuwa naota tu..tena hata mawaziri hawajatangazwa.. mbona nimeamua tu kuamka nikajinywea zangu chai.... mpaka pakakucha!
nikasema afazaaaaali ilikuwa ndoto!!
nikasema afazaaaaali ilikuwa ndoto!!