Ndoto nyingine hizi jamani, hivi ushawahi kumuota member yeyote wa JF?

Mahondaw

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
61,944
156,095
Hivi ushawahi kumuota member yeyote wa jf??????????!!!!!!!! Kama sijasahau nadhani Kuna member simkumbuki ninani alitoa uzi ukiuliza hilo binafsi sikuutilia maanani kiviile na leo ndo nimethibitisha kuwa kumbe yule mtu hakukurupuka from nowhere tu akapost ule uzi.

Kuna jf member nimemuota twice na siku tofauti tofauti...
Yani tangu juzi mpaka leo asubuhi nimewaza sana bila kupata majibu ya hizi ndoto so naomba niwashirikishe tu especially baada ya hii ya juzi jumamosi imenifanya nishangae na kujiuliza sana ! ndoto ya kwanza Ilikua hivi;
Kuna sehemu kulikua na party hukoo kazini kwa kina Smart911.

Smart akaniambia mahondaw Kuna hili na Lile get prepared tutaenda pamoja. Mimi nikasema sijisikii kwenda so wee nenda tu. akajiandaa akaenda! sasa badae mi nipo hom smart ananitext kwamba it went well na sasa tupo kwenye muziki. Ila mimi niliona pekeangu ntaboreka nikamuomba jf member fulani aje kunikampani! Ngoja nikutumie whatsapp clip tunacheza nae music uone jinsi ilivokua. Sasa mimi niko na hamu na temper juu ya kuingia whatsapp kuangalia hio clip nikajikuta nimebanwa na mkojo so nikashtuka toka ndotoni!

Ndoto ya pili Ilikua hivi ;
Tupo kwetu mimi na Smart911, Akaja kututembelea jf member fulani hivi wakike. Smart akamtengenezea mgeni huyo juice ya apple akamtengea akanywa. Badae mgeni huyo akasema atalala hapo kwetu kwani ni weekend hana ishu yoyote kwake.

Kilichonifanya niwaze na kujiuliza maswali bila majibu nikwamba eti ilipofika muda wa kulala ikaonekana kuwa sote watatu ( smart mimi nahuyo mgeni) tunalala kitanda kimoja. Ambapo ataanza mgeni kati smart na mwisho mimi. mbaya zaidi mpangilio huo wa kulala ulikubaliwa na huyo mgeni pamoja na smart ambapo mimi nilikataa katakata kitu kama hiko.
Mimi kama mimi nilitaka aanze mgeni then mimi mwisho smart kitu ambacho mgeni na smart walipinga katu.

Hivo wakalala wanavotaka wao mimi nilale mwisho namimi nikareact no smart you can't do that huku wamelala wakifuatana mimi nanyanyuka naenda kujirusha kati yao nikipinga mlalo huo wao wananyanyuka wanalala tena wanavotaka wao Ivoivo mimi nanyanyuka naenda kujirusha kati yao. Badae kuna dogo nalala nae anaumwa kidole usiku huo alikuwa analia kidole kinamuuma sana akanishtua toka ndotoni. Na ilinichukua muda kadhaa kuwaza na kutafakari ndoto hio.

Of all the years I never dreamt such kind of a dreams! Na of all the members why she??? Tena twice???? It's strange you know!

Is God communicating with ka malaika kake ka mahondaw or devil want to destroy something in me!!???? Or... What is it???????

Kila nikikaa najikuta nawaza sana ndoto hizi bila kupata majibu of Why these dreams?? kwaniniiiiiiiiiii!!!!?????
 
Hivi ushawahi kumuota member yeyote wa jf??????????!!!!!!!! Kama sijasahau nadhani Kuna member simkumbuki ninani alitoa uzi ukiuliza hilo binafsi sikuutilia maanani kiviile na leo ndo nimethibitisha kuwa kumbe yule mtu hakukurupuka from nowhere tu akapost ule uzi.
Kuna jf member nimemuota twice na siku tofauti tofauti...
Yani tangu juzi mpaka leo asubuhi nimewaza sana bila kupata majibu ya hizi ndoto so naomba niwashirikishe tu especially baada ya hii ya juzi jumamosi imenifanya nishangae na kujiuliza sana ! ndoto ya kwanza Ilikua hivi;
Kuna sehemu kulikua na party hukoo kazini kwa kina Smart911. Smart akaniambia mahondaw Kuna hili na Lile get prepared tutaenda pamoja. Mimi nikasema sijisikii kwenda so wee nenda tu. akajiandaa akaenda! sasa badae mi nipo hom smart ananitext kwamba it went well na sasa tupo kwenye muziki. Ila mimi niliona pekeangu ntaboreka nikamuomba jf member fulani aje kunikampani! Ngoja nikutumie whatsapp clip tunacheza nae music uone jinsi ilivokua. Sasa mimi niko na hamu na temper juu ya kuingia whatsapp kuangalia hio clip nikajikuta nimebanwa na mkojo so nikashtuka toka ndotoni!
Ndoto ya pili Ilikua hivi ;
Tupo kwetu mimi na Smart911, Akaja kututembelea jf member fulani hivi wakike. Smart akamtengenezea mgeni huyo juice ya apple akamtengea akanywa. Badae mgeni huyo akasema atalala hapo kwetu kwani ni weekend hana ishu yoyote kwake.
Kilichonifanya niwaze na kujiuliza maswali bila majibu ya moja kwa moja nikwamba eti ilipofika muda wa kulala ikaonekana kuwa sote watatu ( smart mimi nahuyo mgeni) tunalala kitanda kimoja. Ambapo ataanza mgeni kati smart na mwisho mimi. mbaya zaidi mpangilio huo wa kulala ulikubaliwa na huyo mgeni pamoja na smart ambapo mimi nilikataa katakata kitu kama hiko.
Mimi kama mimi nilitaka aanze mgeni then mimi mwisho smart kitu ambacho mgeni na smart walipinga katu. Hivo wakalala wanavotaka wao mimi nilale mwisho namimi nikareact no smart you can't do that huku wamelala wakifuatana mimi nanyanyuka naenda kujirusha kati yao nikipinga mlalo huo wao wananyanyuka wanalala tena wanavotaka wao Ivoivo mimi nanyanyuka naenda kujirusha kati yao. Badae kuna dogo nalala nae anaumwa kidole usiku huo alikuwa analia kidole kinamuuma sana akanishtua toka ndotoni. Na ilinichukua muda kadhaa kuwaza na kutafakari ndoto hio.

Katika kuwaza nimejikuta najiwa na majibu mengi mengiiiii so nashindwa kuelewa vizuri ndoto hizi zinamaanisha nini???

Cc Smart911
 
Mkuu vipi umeota anakunaniii au???
 
hapo itakuwa smart ameshaanza figisu figisu tu"" he he he ...kuna Dada du ""yupo humu anamkula ""
 
Hivi ushawahi kumuota member yeyote wa jf??????????!!!!!!!! Kama sijasahau nadhani Kuna member simkumbuki ninani alitoa uzi ukiuliza hilo binafsi sikuutilia maanani kiviile na leo ndo nimethibitisha kuwa kumbe yule mtu hakukurupuka from nowhere tu akapost ule uzi.
Kuna jf member nimemuota twice na siku tofauti tofauti...
Yani tangu juzi mpaka leo asubuhi nimewaza sana bila kupata majibu ya hizi ndoto so naomba niwashirikishe tu especially baada ya hii ya juzi jumamosi imenifanya nishangae na kujiuliza sana ! ndoto ya kwanza Ilikua hivi;
Kuna sehemu kulikua na party hukoo kazini kwa kina Smart911. Smart akaniambia mahondaw Kuna hili na Lile get prepared tutaenda pamoja. Mimi nikasema sijisikii kwenda so wee nenda tu. akajiandaa akaenda! sasa badae mi nipo hom smart ananitext kwamba it went well na sasa tupo kwenye muziki. Ila mimi niliona pekeangu ntaboreka nikamuomba jf member fulani aje kunikampani! Ngoja nikutumie whatsapp clip tunacheza nae music uone jinsi ilivokua. Sasa mimi niko na hamu na temper juu ya kuingia whatsapp kuangalia hio clip nikajikuta nimebanwa na mkojo so nikashtuka toka ndotoni!
Ndoto ya pili Ilikua hivi ;
Tupo kwetu mimi na Smart911, Akaja kututembelea jf member fulani hivi wakike. Smart akamtengenezea mgeni huyo juice ya apple akamtengea akanywa. Badae mgeni huyo akasema atalala hapo kwetu kwani ni weekend hana ishu yoyote kwake.
Kilichonifanya niwaze na kujiuliza maswali bila majibu nikwamba eti ilipofika muda wa kulala ikaonekana kuwa sote watatu ( smart mimi nahuyo mgeni) tunalala kitanda kimoja. Ambapo ataanza mgeni kati smart na mwisho mimi. mbaya zaidi mpangilio huo wa kulala ulikubaliwa na huyo mgeni pamoja na smart ambapo mimi nilikataa katakata kitu kama hiko.
Mimi kama mimi nilitaka aanze mgeni then mimi mwisho smart kitu ambacho mgeni na smart walipinga katu. Hivo wakalala wanavotaka wao mimi nilale mwisho namimi nikareact no smart you can't do that huku wamelala wakifuatana mimi nanyanyuka naenda kujirusha kati yao nikipinga mlalo huo wao wananyanyuka wanalala tena wanavotaka wao Ivoivo mimi nanyanyuka naenda kujirusha kati yao. Badae kuna dogo nalala nae anaumwa kidole usiku huo alikuwa analia kidole kinamuuma sana akanishtua toka ndotoni. Na ilinichukua muda kadhaa kuwaza na kutafakari ndoto hio.

Of all the years I never dreamt such kind of a dreams! Na of all the members why she??? Tena twice???? It's strange you know!

Is God communicating with ka malaika kake ka mahondaw or devil want to destroy something in me!!???? Or... What is it???????

Kila nikikaa najikuta nawaza sana ndoto hizi bila kupata majibu of Why these dreams?? kwaniniiiiiiiiiii!!!!?????
Hivi kweli nyie ni wapenzi au wapenzi wa kwenye keyboard halafu mnaoneana wivu!!!?
 
Ukiona manyoaya ujue kaliwa na wajanja..

Endelea na ndoto, smart ashaopoa chombo kipya JF wewe kwake ni used
 
Mahondaw something or someone ambae ni member hum jf. Maybe ni rafiki yako wa karibu, au ni ndugu yako.. atakuja kujatib kuwatenganisha. Kuwa makini
 
Back
Top Bottom