Ndoto niliyoota leo; siku vyama vya upinzani vichukua nchi………

Malyenge

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,658
3,646
Siku vyama vya upinzani vikichukua nchi watanzania wategemeemambo mazuri yafuatayo:
1. Rais akitukanwa wao hawatachukua hatua yoyote….watakaakimya kuliko ilivyo sasa
2. Wakishindwa uchaguzi watakubali matokeo bilakipingamizi
3. Vyama vingine vilivyoshindwa uchaguzi nakulalamika wataongezewa kura ili zilingane na chama kilichoshinda na kuundaserikali ya umoja
4. Wanafunzi wote watapewa mkopo asilimia miamojabila kubagua matabaka ama fani wanayosomea
5. Wakati wa bajeti vyama vya vingine vikiletabajeti mbadala haitabadilishwa ama kuondolewa maneno makali kama ilivyo sasa
6. Rasilimali zote za nchi zitagawanywa kwa majimbo….namajimbo yasiyo na rasilimali za kutosha yataruhusiwa kujiunga na chi yoyote yajirani ndani ya ukanda wa Africa ili kuyaondoa yasisababishe umaskini.
7. Raia yeyote ataruhusiwa kutukana popotebarabarani bila kubughudhiwa na chombo chochote cha dola
8. Kama ikibidi kutumia FFU wakati wowote iwe ni kwa wanafunzi ama raiawafanyao fujo, polisi watatumia mabomu ya sponji ili wasiwaumize wananchi
9. Usalama wa Taifa hawatatumika tena katikakuishauri serikali
10. Vyombo vya habari vitaruhusiwa kuropoka lolotena ikibidi hata kuwapiga watu picha za faragha itakuwa ni jambo linaloruhusiwa
11. Mwandishi wa habari atakuwa na uhuru wa kuulizaswali lolote na popote hata kama ni swali la kijinga ama kipuuzi ili kulindademokrasia
12. Barabara zote zilizojengwa na serikali ya sasazitabomolewa na kujengwa nyingine za kisasa zaidi
13. Usafiri wa mabasi utakuwa bora zaidi kwa watukutosimama kwenye mabasi na madaladala
14. Kila raia atakuwa na uhuru wa kuingia ikulu bilakizuizi. Na raia watakoingia ikulu kwa nia ya kufanya fujo polisi watawapigamabomu ya sponji kama ilivyoainishwa kwenye namba 8 hapo juu
15. Uchaguzi utaruhusiwa kuitishwa wakati wowotepale tu wananchi watakapoamua na si kufuata katiba
16. Raisi akitenda kosa atashtakiwa maana atakuwahana kinga kama ilivyo sasa.

Watanzania neema yaja....................
Wasalaam,
 
acha upuuzi, halafu ww ni JF Senior Expert Member, kweli kwa khali hii!!!!!!!!!!!!??????????
 
Mwenye akili atakuwa ameelewa asante kwa ujumbe mzuri.Subiri wamatusi aka pro chodomo
 
siku vyama vya upinzani vikichukua nchi watanzania wategemeemambo mazuri yafuatayo:
1. rais akitukanwa wao hawatachukua hatua yoyote….watakaakimya kuliko ilivyo sasa
2. wakishindwa uchaguzi watakubali matokeo bilakipingamizi
3. vyama vingine vilivyoshindwa uchaguzi nakulalamika wataongezewa kura ili zilingane na chama kilichoshinda na kuundaserikali ya umoja
4. wanafunzi wote watapewa mkopo asilimia miamojabila kubagua matabaka ama fani wanayosomea
5. wakati wa bajeti vyama vya vingine vikiletabajeti mbadala haitabadilishwa ama kuondolewa maneno makali kama ilivyo sasa
6. rasilimali zote za nchi zitagawanywa kwa majimbo….namajimbo yasiyo na rasilimali za kutosha yataruhusiwa kujiunga na chi yoyote yajirani ndani ya ukanda wa africa ili kuyaondoa yasisababishe umaskini.
7. raia yeyote ataruhusiwa kutukana popotebarabarani bila kubughudhiwa na chombo chochote cha dola
8. kama ikibidi kutumia ffu wakati wowote iwe ni kwa wanafunzi ama raiawafanyao fujo, polisi watatumia mabomu ya sponji ili wasiwaumize wananchi
9. usalama wa taifa hawatatumika tena katikakuishauri serikali
10. vyombo vya habari vitaruhusiwa kuropoka lolotena ikibidi hata kuwapiga watu picha za faragha itakuwa ni jambo linaloruhusiwa
11. mwandishi wa habari atakuwa na uhuru wa kuulizaswali lolote na popote hata kama ni swali la kijinga ama kipuuzi ili kulindademokrasia
12. barabara zote zilizojengwa na serikali ya sasazitabomolewa na kujengwa nyingine za kisasa zaidi
13. usafiri wa mabasi utakuwa bora zaidi kwa watukutosimama kwenye mabasi na madaladala
14. kila raia atakuwa na uhuru wa kuingia ikulu bilakizuizi. Na raia watakoingia ikulu kwa nia ya kufanya fujo polisi watawapigamabomu ya sponji kama ilivyoainishwa kwenye namba 8 hapo juu
15. uchaguzi utaruhusiwa kuitishwa wakati wowotepale tu wananchi watakapoamua na si kufuata katiba
16. raisi akitenda kosa atashtakiwa maana atakuwahana kinga kama ilivyo sasa.

watanzania neema yaja....................
wasalaam,

kwa vile ni ndoto, itabaki ndoto , na kama ccm wanashare ndoto zako basi poleni sana. Keep dreaming dude! You are a super dreamer useless to the real world. Bye!!!
 
Sio ikila mtu ni ----- kama unavyo dhani, tatizo watu wameisha iba sana, sasa ni vurugu wasitoke madarakani ili wakake nyuma ya nondo...Sokine alikuwa kiongozi mzuri, FFU walitumia sponji. use ur brain!
 
Kosa langu nini!!! Mimi naelezea ndoto niliyoota usiku wa leo sasa mnanisakama kana kwamba si ndoto....Tuchangie jamani.
 
ulianza kujenga hoja kichwani mwangu lakin too much imekuwa harmful kila kitu kiasi usizidishe mameno
 
Sio ikila mtu ni ----- kama unavyo dhani, tatizo watu wameisha iba sana, sasa ni vurugu wasitoke madarakani ili wakake nyuma ya nondo...Sokine alikuwa kiongozi mzuri, FFU walitumia sponji. use ur brain!

hapa umenifurahisha hoja zinajibiwa na hoja na siyo matusi
 
Siku vyama vya upinzani vikichukua nchi watanzania wategemeemambo mazuri yafuatayo:
1. Rais akitukanwa wao hawatachukua hatua yoyote….watakaakimya kuliko ilivyo sasa
2. Wakishindwa uchaguzi watakubali matokeo bilakipingamizi
3. Vyama vingine vilivyoshindwa uchaguzi nakulalamika wataongezewa kura ili zilingane na chama kilichoshinda na kuundaserikali ya umoja
4. Wanafunzi wote watapewa mkopo asilimia miamojabila kubagua matabaka ama fani wanayosomea
5. Wakati wa bajeti vyama vya vingine vikiletabajeti mbadala haitabadilishwa ama kuondolewa maneno makali kama ilivyo sasa
6. Rasilimali zote za nchi zitagawanywa kwa majimbo….namajimbo yasiyo na rasilimali za kutosha yataruhusiwa kujiunga na chi yoyote yajirani ndani ya ukanda wa Africa ili kuyaondoa yasisababishe umaskini.
7. Raia yeyote ataruhusiwa kutukana popotebarabarani bila kubughudhiwa na chombo chochote cha dola
8. Kama ikibidi kutumia FFU wakati wowote iwe ni kwa wanafunzi ama raiawafanyao fujo, polisi watatumia mabomu ya sponji ili wasiwaumize wananchi
9. Usalama wa Taifa hawatatumika tena katikakuishauri serikali
10. Vyombo vya habari vitaruhusiwa kuropoka lolotena ikibidi hata kuwapiga watu picha za faragha itakuwa ni jambo linaloruhusiwa
11. Mwandishi wa habari atakuwa na uhuru wa kuulizaswali lolote na popote hata kama ni swali la kijinga ama kipuuzi ili kulindademokrasia
12. Barabara zote zilizojengwa na serikali ya sasazitabomolewa na kujengwa nyingine za kisasa zaidi
13. Usafiri wa mabasi utakuwa bora zaidi kwa watukutosimama kwenye mabasi na madaladala
14. Kila raia atakuwa na uhuru wa kuingia ikulu bilakizuizi. Na raia watakoingia ikulu kwa nia ya kufanya fujo polisi watawapigamabomu ya sponji kama ilivyoainishwa kwenye namba 8 hapo juu
15. Uchaguzi utaruhusiwa kuitishwa wakati wowotepale tu wananchi watakapoamua na si kufuata katiba
16. Raisi akitenda kosa atashtakiwa maana atakuwahana kinga kama ilivyo sasa.

Watanzania neema yaja....................
Wasalaam,
Vipi Jombi. usisahau kupita lumumba mapema kuchukua chako, leo mtoa fedha anaumwa mafua atawahi kufunga ofisi. upatapo ujumbe huu waambie na wenzako. kidumu chama cha mapinduzi.
 
wataalam wa metaphysics wanasema,mtu anaota asilimia kubwa ya yale anayoyafanya na kuyafikilia akiwa macho.pia wanaongeza kuwa hakuna ndoto iliyowahi kuwa ya kweli japo kuna imani kuwa baadhi ya ndoto zinakuwa za kwel,lakini nalo linabakiwa kuwa imani!!
kwa hyo wewe unashindwa kuwaza na kutenda mema mchana unajikuta unaota upuuzi uleule usku.ukiamka nafsi inakuuma kwa fikila mbaya na uaona ili upate releaf unakuja humu kutueleza utumbo ule ule.cjapenda hata kidogo huu uchafu,siku nyingine ukae ufikilie cha kuandika kwenye jamii ya watu tofauti walioko kwenye chama tawala na hata kwa wapinzani,tutaheshim mawazo yako na utakapostahili pongezi utapewa.Sinzia tena labda utaota umeletewa ndege,au umechaguliwa kuwa raisi wa CCM
 
Back
Top Bottom