Ndoto niliyoota kama maono!

Yesu Anakuja

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
9,374
19,032
Sijajua nini Mungu amepanga kwenye maisha yangu, niwe muwazi, nimeokoka, though mimi sio malaika, kwa uwezo wa Mungu napambana na dhambi, na nazidi kujitakasa kila wakati kwasababu najua wakati mwingine namuuzi Mungu na wanadamu kutokana na madhaifu yangu kama mwanadamu, madhaifu ambayo hata hivyo sio justification ya kutenda dhambi. Mungu atusaidie, na pamoja na yooote hayo, pamoja na madhaifu yangu yoote, Mungu bado amenipenda.

Maishani mwangu nilishawahi kuota ndoto nyingi sana za Kimungu, kwani kuna ndoto unaota ukishiba ugali, na zingine unaota unaona Mungu anaongea na wewe kabisa na haitoki moyoni hata miaka nenda rudi. nilishawahi kuota ndoto malaika wamekizunguka kiti cha enzi wa Mungu, wanaimba wimbo, ni miaka kadhaa sasa, huo wimbo hadi leo upo akilini mwangu na niliusikia kwenye ndoto tu. nilishawahi kuonyeshwa mambo mengi ambayo sitayazungumzia hapa kwasababu hiyo sio ndoto niliyotaka kuwashirikisha leo. Ndoto niliyoiota ni hii:-

Niliota nipo kwenye shughuli zangu, tukashambuliwa na maadui hatari mno wameshika mapanga wanadhuru watu, ilikuwa ni ndoto lakini nilikuwa naelewa kila kinachoendelea hivyo ilikuwa kama ni ndoto lakini ni maono kwasababu nilikuwa naona fulani hivi. walikuja wakishambulia watu wengi, walipofika kwangu, yule kiongozi wao akawaambia hao walio chini yake "HUYU MWACHENI KWASABABU HUYU NI MALI YA YESU", ever since that moment, roho yangu ikaanza kuimba wimbo wa kukiri kwamba mimi ni Mali ya Yesu na sitadhurika, huo wimbo hautoki moyoni mwangu hadi sasahivi....unaimbwa "mimi ni mali ya Yesu mmmmhh mmhhh, mali ya Yesu, mhhmm mmhh,Mali ya Yesu......" ni wimbo mzuri sana. sisemi kwamba nataka kuwa mwimbaji, hicho kipaji sina. ila ninachotaka kuwahakikishia ni kwamba, wote waliokabidhi maisha yao kwa Yesu, wanakuwa mali ya Yesu.

nimeshaona maono siku kadhaa mfululizo pia ikionyesha dunia hii ipo mwishoni kabisa, nikaona mvurugano umetokea watu wanakimbia kila mahali hata hawajui waende wapi, lakini wameshachelewa, wametumia muda mwingiii kwa ajili ya mambo ya dunia hii, muda ambao Mungu aliwapatia, they just misused it.

Neno la Mungu linasema, wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio Jina lake. Zaburi 91 inasema, Aketiye mahali pa siri pake Aliye juu Atakaa katika uvuli wake Mwenyezi. Nitasema, BWANA ndiye kimbilio langu na ngome yangu, Mungu wangu nitakayemtumaini.

Mungu amenifundisha kitu kimoja kwamba, tunaweza kuwa tunategemea vitu vingi sana hapa duniani, pesa, connections serikalini, kazi, cheo, wazazi, ndugu, uchawi, etc, lakini ukweli ni kwamba, Jesus Christ is the only trusted refuge that will never let you down. Yesu pekee ndiye kimbilio la uhakika, na alishasema, yeyote ajaye kwangu sitamtupa nje kamwe. wale wanaokaa katika uvuli wake, yeye atakuwa kimbilio lao na ngome yao. Mungu hutoa ulinzi na warning kwa shetani kutowagusa kabisa watu wake, na shetani akikugusa jua Mungu ameruhusu na amekuwekea mlango wa kutokea katika jaribu hilo lakini kwa hali ya kawaida wote walio wa Mungu hulindwa na kupiganiwa na Mungu hata hatuhitaji tegemeo lingine. yeye pekee ndiye uhakika wetu.

walio wa Mungu watanielewa, na watamtafuta zaidi Mungu baada ya kusoma haya, ila wale walio wa shetani watapinga kwasababu baba yao shetani hapendi ukweli huu ujulikane. Mungu akusaidie,Mungu anisaidie, tumwone yeye pekee ndiye kimbilio letu, tukabidhi maisha yetu kwake katika nyakati hizi za mwisho, kabla giza halijaifikia dunia. Amen.
 
Amen,
Nakuelewa mkuu. Hiyo ni neema ambayo Mwenyezi Mungu amekujalia.

Mhimidini bwana kwa kuwa fadhili zake ni za milele.
 
una uwakika gan kuwa huyo unaesema anaongea na wew ni Mungu? au sabbu dunia ina Miungu mingi so hatuwez jua ni yupi anayekupigania.

alafu ujuwe hata yule mnaemuita shetan nae anauwezo wa kutoa maono na uponyaji the same way mnavyoomba makanisani.

kuota kitu na kikatimia si maana kuwa ni jambo la kiMungu, bal inaweza kuwa mtego na usijue.

Haya mambo nishayasema sana, kuna watu mnaabudu na kutegemea nguvu za viumbe msivyovijua kwa kuzani ni zile mlizopotoshwa na wachungaj wenu, kuwa ni sahihi lkn si kwel.

walokole sjui mnashida gan, yaan ukishaanza kupata maluwe luwe na mandoto yakipuuzi, bas unajiona mtakatifu na mjawa Roho, kumbe ni ujinga mtupu na uongo mnaojazwa na mashetan yanayowapandikiza hisia za kipuuzi na maono ya uongo il mzd kuchizika.

Ukwel ni kuwa, hata yule mumuitaye Shetan ane ana mbingu vile vile, na ana mwanae wa pekee vile vile na anaishi mbingu ambayo wanadini woote mnaitegemea.

MUUMBA wa kwel, hajawai na hatowai kuongea na kiumbe dhaifu aitwae binadamu/mtu never, achana na upotoshji wa hizo biblia zenu zilizojawa mikanganyiko ya kutungwa na wakoloni,

Ukwel kuhusu ndoto/maono watu wengi hamujui zaid ya kuaminishana upumbavu tokea kwa wachungaji wenu.

Dini zote ni uongo, huyo yesu kristo hayupo na hatawai kuwepo, maana story zake zilikopiwa toka kwa Shujaa aliewai kuish Africa na kuzipachika historia hizo kwa kiumbe kipya(yesu/azazel) cha jamii za wanefil(wazungu) na kuwalazmisha waafrika wakiabudu na kukifanya kuwa Mungu.

mpka leo waafrika wamelogeka kwa kuabudu ushetan na upumbavu wa mzungu ndiomaana mnatawaliwa na kunyanyaswa sabbu ya kumkataa Muumba wenu wa kwel.

hakuna wokovu kutoka kwa huyo pepo wenu yesu, maana hajawai kuwepo na hatowai kuwepo, Muumba wa kwel haishi mbingun wala ktk ulimwengu wa roho, kwakuwa yeye ni zaid ya kila uwepo na alishasahauliwa kuabudiwa na watu (black people) kwa kuzikumbatia dini na imani za kishetan(ukristo&uislam) tokea kwa wageni.
FB_IMG_16381821905467951.jpg
 
una uwakika gan kuwa huyo unaesema anaongea na wew ni Mungu? au sabbu dunia ina Miungu mingi so hatuwez jua ni yupi anayekupigania.

alafu ujuwe hata yule mnaemuita shetan nae anauwezo wa kutoa maono na uponyaji the same way mnavyoomba makanisani.

kuota kitu na kikatimia si maana kuwa ni jambo la kiMungu, bal inaweza kuwa mtego na usijue.

Haya mambo nishayasema sana, kuna watu mnaabudu na kutegemea nguvu za viumbe msivyovijua kwa kuzani ni zile mlizopotoshwa na wachungaj wenu, kuwa ni sahihi lkn si kwel.

walokole sjui mnashida gan, yaan ukishaanza kupata maluwe luwe na mandoto yakipuuzi, bas unajiona mtakatifu na mjawa Roho, kumbe ni ujinga mtupu na uongo mnaojazwa na mashetan yanayowapandikiza hisia za kipuuzi na maono ya uongo il mzd kuchizika.

Ukwel ni kuwa, hata yule mumuitaye Shetan ane ana mbingu vile vile, na ana mwanae wa pekee vile vile na anaishi mbingu ambayo wanadini woote mnaitegemea.

MUUMBA wa kwel, hajawai na hatowai kuongea na kiumbe dhaifu aitwae binadamu/mtu never, achana na upotoshji wa hizo biblia zenu zilizojawa mikanganyiko ya kutungwa na wakoloni,

Ukwel kuhusu ndoto/maono watu wengi hamujui zaid ya kuaminishana upumbavu tokea kwa wachungaji wenu.

Dini zote ni uongo, huyo yesu kristo hayupo na hatawai kuwepo, maana story zake zilikopiwa toka kwa Shujaa aliewai kuish Africa na kuzipachika historia hizo kwa kiumbe kipya(yesu/azazel) cha jamii za wanefil(wazungu) na kuwalazmisha waafrika wakiabudu na kukifanya kuwa Mungu.

mpka leo waafrika wamelogeka kwa kuabudu ushetan na upumbavu wa mzungu ndiomaana mnatawaliwa na kunyanyaswa sabbu ya kumkataa Muumba wenu wa kwel.

hakuna wokovu kutoka kwa huyo pepo wenu yesu, maana hajawai kuwepo na hatowai kuwepo, Muumba wa kwel haishi mbingun wala ktk ulimwengu wa roho, kwakuwa yeye ni zaid ya kila uwepo na alishasahauliwa kuabudiwa na watu (black people) kwa kuzikumbatia dini na imani za kishetan(ukristo&uislam) tokea kwa wageni.View attachment 2030992
my friend, Mungu ni Nuru, shetani ni giza, sisi wengine tumesha experience presence of God mara nyingi sana kiasi kwamba tumepewa neema ya kutofautisha kama hii ni sauti ya Mungu au sauti ya shetani. Yesu alisema kondoo wake waijua sauti yake, ukweli ni kwamba, Nguvu za Roho Mtakatifu zipo na ni halisi, akiwa ndani yako atakuhakikisha na kukuongoza kwenye yaliyo kweli.

siongelei upako kama huo mlio uzoea, huo wa mafuta ya upako, maji ya upako, chumvi za upako na keki za upako n.k, naongelea personal relationship with God bila kujali watu kama wewe watasema nini, bila kujali ndugu watasema nini, bila kujali mke wangu atasema nini, bila kujali nani atanidhuru, bila kujali chochote, ila Neno la Mungu tu, na kuutafuta uso wa Mungu.

Nanyi mtanitafuta na kuniona mtakaponitafuta kwa mioyo yenu yote. ukimtafuta Mungu huwa anaonekana, Mungu ni halisi, na haya niliyokuambia ni halisi na nimethibitishiwa na Mungu. kama una Mungu Roho Mtakatifu atakuthibitishia kama haya ni ya kweli au la, ila kama hauna hata tubishane hadi kesho hautaelewa na hautaamini, hata hivyo usipoamini yawezekana ushuhuda huu haujaja hapa kwa ajili yako, duniani kuna watu wana mioyo migumu kiasi kwamba hata Mungu anajua hawatakuja kutubu milele na wataenda tu motoni kutokana na namna walivyoyatoa maisha yao kwa shetani na kukufuru Mungu na Nguvu zake hadi shetani akaingia kwa asilimia kubwa mno, na ni wao wenyewe wameruhusu awaingie, hivyo wamefanyika chukizo kwa Mungu. hata hivyo Mungu bado anakupenda, na anatamani utamrudia siku moja, na mara tu utakapobadilika na kumrudia, atakupokea, atasamehe dhambi zako zoooote, atazitupa kilindini na hatazikumbuka tena, nawe utakuwa kiumbe kipya na utaurithi uzima wa milele. sijui ni kwanini, hata hapa ninapoandika, nahisi uwepo wa Mungu moyoni mwangu. Jina la Bwana libarikiwe.
 
Tafuta hela uache kutafuta huruma duniani sawa?
ndugu sitafuti huruma, hapa nilipo Mungu amenibariki tu, nina maisha mazuri tu na katu sitegemei kutafuta huruma kwa watu, pia ni msomi mzuri tu. I wish ungelijua ukweli huu.
 
Nakutabilia utakuwa Mwamposa wa baadae.
Itikia Amen
I will never be like mwamposa, sijawahi kwenda hata kwenye kusanyiko lake kwasababu naamini sio kwa vitu ila kwa Yesu mwenyewe. pia naamini utendaji wa Roho Mtakatifu sawasawa na Biblia, hivyo sitegemei kabisa kuwa mwamposa, never. I refuse to be like him in Jesus Name.
 
Sijajua nini Mungu amepanga kwenye maisha yangu, niwe muwazi, nimeokoka, though mimi sio malaika, kwa uwezo wa Mungu napambana na dhambi, na nazidi kujitakasa kila wakati kwasababu najua wakati mwingine namuuzi Mungu na wanadamu kutokana na madhaifu yangu kama mwanadamu, madhaifu ambayo hata hivyo sio justification ya kutenda dhambi. Mungu atusaidie, na pamoja na yooote hayo, pamoja na madhaifu yangu yoote, Mungu bado amenipenda.

Maishani mwangu nilishawahi kuota ndoto nyingi sana za Kimungu, kwani kuna ndoto unaota ukishiba ugali, na zingine unaota unaona Mungu anaongea na wewe kabisa na haitoki moyoni hata miaka nenda rudi. nilishawahi kuota ndoto malaika wamekizunguka kiti cha enzi wa Mungu, wanaimba wimbo, ni miaka kadhaa sasa, huo wimbo hadi leo upo akilini mwangu na niliusikia kwenye ndoto tu. nilishawahi kuonyeshwa mambo mengi ambayo sitayazungumzia hapa kwasababu hiyo sio ndoto niliyotaka kuwashirikisha leo. Ndoto niliyoiota ni hii:-

Niliota nipo kwenye shughuli zangu, tukashambuliwa na maadui hatari mno wameshika mapanga wanadhuru watu, ilikuwa ni ndoto lakini nilikuwa naelewa kila kinachoendelea hivyo ilikuwa kama ni ndoto lakini ni maono kwasababu nilikuwa naona fulani hivi. walikuja wakishambulia watu wengi, walipofika kwangu, yule kiongozi wao akawaambia hao walio chini yake "HUYU MWACHENI KWASABABU HUYU NI MALI YA YESU", ever since that moment, roho yangu ikaanza kuimba wimbo wa kukiri kwamba mimi ni Mali ya Yesu na sitadhurika, huo wimbo hautoki moyoni mwangu hadi sasahivi....unaimbwa "mimi ni mali ya Yesu mmmmhh mmhhh, mali ya Yesu, mhhmm mmhh,Mali ya Yesu......" ni wimbo mzuri sana. sisemi kwamba nataka kuwa mwimbaji, hicho kipaji sina. ila ninachotaka kuwahakikishia ni kwamba, wote waliokabidhi maisha yao kwa Yesu, wanakuwa mali ya Yesu.

nimeshaona maono siku kadhaa mfululizo pia ikionyesha dunia hii ipo mwishoni kabisa, nikaona mvurugano umetokea watu wanakimbia kila mahali hata hawajui waende wapi, lakini wameshachelewa, wametumia muda mwingiii kwa ajili ya mambo ya dunia hii, muda ambao Mungu aliwapatia, they just misused it.

Neno la Mungu linasema, wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio Jina lake. Zaburi 91 inasema, Aketiye mahali pa siri pake Aliye juu Atakaa katika uvuli wake Mwenyezi. Nitasema, BWANA ndiye kimbilio langu na ngome yangu, Mungu wangu nitakayemtumaini.

Mungu amenifundisha kitu kimoja kwamba, tunaweza kuwa tunategemea vitu vingi sana hapa duniani, pesa, connections serikalini, kazi, cheo, wazazi, ndugu, uchawi, etc, lakini ukweli ni kwamba, Jesus Christ is the only trusted refuge that will never let you down. Yesu pekee ndiye kimbilio la uhakika, na alishasema, yeyote ajaye kwangu sitamtupa nje kamwe. wale wanaokaa katika uvuli wake, yeye atakuwa kimbilio lao na ngome yao. Mungu hutoa ulinzi na warning kwa shetani kutowagusa kabisa watu wake, na shetani akikugusa jua Mungu ameruhusu na amekuwekea mlango wa kutokea katika jaribu hilo lakini kwa hali ya kawaida wote walio wa Mungu hulindwa na kupiganiwa na Mungu hata hatuhitaji tegemeo lingine. yeye pekee ndiye uhakika wetu.

walio wa Mungu watanielewa, na watamtafuta zaidi Mungu baada ya kusoma haya, ila wale walio wa shetani watapinga kwasababu baba yao shetani hapendi ukweli huu ujulikane. Mungu akusaidie,Mungu anisaidie, tumwone yeye pekee ndiye kimbilio letu, tukabidhi maisha yetu kwake katika nyakati hizi za mwisho, kabla giza halijaifikia dunia. Amen.
ameen mkuu...sisi wa rohoni tunaelewa nn unakimaanisha hapa, tuzidi kuwaombea na wengine ili Mungu awape hii neema ya kujua kwamba tupo ktk nyakati za mwisho..binafsi nimeshaota zaidi ya mara 3 ndoto zinazohusu unyakuo, hakika Yesu kristo yupo mlangoni tayari kuja kulichukua kanisa lake
Screenshot_20211202-122637~01.jpg
 
una uwakika gan kuwa huyo unaesema anaongea na wew ni Mungu? au sabbu dunia ina Miungu mingi so hatuwez jua ni yupi anayekupigania.

alafu ujuwe hata yule mnaemuita shetan nae anauwezo wa kutoa maono na uponyaji the same way mnavyoomba makanisani.

kuota kitu na kikatimia si maana kuwa ni jambo la kiMungu, bal inaweza kuwa mtego na usijue.

Haya mambo nishayasema sana, kuna watu mnaabudu na kutegemea nguvu za viumbe msivyovijua kwa kuzani ni zile mlizopotoshwa na wachungaj wenu, kuwa ni sahihi lkn si kwel.

walokole sjui mnashida gan, yaan ukishaanza kupata maluwe luwe na mandoto yakipuuzi, bas unajiona mtakatifu na mjawa Roho, kumbe ni ujinga mtupu na uongo mnaojazwa na mashetan yanayowapandikiza hisia za kipuuzi na maono ya uongo il mzd kuchizika.

Ukwel ni kuwa, hata yule mumuitaye Shetan ane ana mbingu vile vile, na ana mwanae wa pekee vile vile na anaishi mbingu ambayo wanadini woote mnaitegemea.

MUUMBA wa kwel, hajawai na hatowai kuongea na kiumbe dhaifu aitwae binadamu/mtu never, achana na upotoshji wa hizo biblia zenu zilizojawa mikanganyiko ya kutungwa na wakoloni,

Ukwel kuhusu ndoto/maono watu wengi hamujui zaid ya kuaminishana upumbavu tokea kwa wachungaji wenu.

Dini zote ni uongo, huyo yesu kristo hayupo na hatawai kuwepo, maana story zake zilikopiwa toka kwa Shujaa aliewai kuish Africa na kuzipachika historia hizo kwa kiumbe kipya(yesu/azazel) cha jamii za wanefil(wazungu) na kuwalazmisha waafrika wakiabudu na kukifanya kuwa Mungu.

mpka leo waafrika wamelogeka kwa kuabudu ushetan na upumbavu wa mzungu ndiomaana mnatawaliwa na kunyanyaswa sabbu ya kumkataa Muumba wenu wa kwel.

hakuna wokovu kutoka kwa huyo pepo wenu yesu, maana hajawai kuwepo na hatowai kuwepo, Muumba wa kwel haishi mbingun wala ktk ulimwengu wa roho, kwakuwa yeye ni zaid ya kila uwepo na alishasahauliwa kuabudiwa na watu (black people) kwa kuzikumbatia dini na imani za kishetan(ukristo&uislam) tokea kwa wageni.View attachment 2030992
mithali 16:25
"ipo njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu;Lakini mwisho wake ni njia za mauti"

Mungu akurehemu mkuu

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
I will never be like mwamposa, sijawahi kwenda hata kwenye kusanyiko lake kwasababu naamini sio kwa vitu ila kwa Yesu mwenyewe. pia naamini utendaji wa Roho Mtakatifu sawasawa na Biblia, hivyo sitegemei kabisa kuwa mwamposa, never. I refuse to be like him in Jesus Name.
Dah umeukataa utabiri wangu kabisa dah.
 
Back
Top Bottom