Ndoto NDoto NDOTOOO....

Wilbert1974

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
1,632
478
Duuuh! Hizi NDOTO Jamani!? :sleep: Na mi leo nimeoteshwa Dawa; Natibu magonjwa yote SUGU na yasiyo sugu, Situmii Kikombe, na wala simtozi Mtu 500/-! NIKIKUSHIKA MAKALIO TU UMEPONA.... KARIBUNI NYOTE SASA!!!:welcome:
 
Kweli ndoto. Halafu inaonekana bado hujazinduka. Ikiisha tuambie umewashka akina nani masaburi.
 
Watakuwa wanakushika wewe sasa ili waendelee kukushika wanakuotesha kwamba wakimaliza utaenda kuwashika wenzako, na usipoamka watakufanya vibaya shauri yako amka.
 
azima utakuwa bazazi wewe tena fataki ulimi nje udenda unakutoka kwa uchu hata ukiona ****** ya paka utashika lol!
 
ila upndo wa kwel unaanzia nyumban , ungeanza kumtb mamako na mzee wako kule kjjn alf ndyo ukaj kwa wngne au unaonaje ..... Il upat bark zao
 
Back
Top Bottom