cataliya
JF-Expert Member
- Jun 24, 2013
- 458
- 360
- Thread starter
- #21
Hujanielewa. Sikuwa na taarifa. Niliota ndoto na kumwona mjamzito na pia amejifungua mtoto wa kike.Hiyo ya Dada yako kuwa mjamzito sio ndoto ni kwamba ulikiwa umisha sikia sema ulikuwa umesahau,so hilo jambo likaibuka usingizini.
Na kupatia jinsia nayo nilisikia?