Ndoto hii noma!!

Power G

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
3,887
1,193
Jamaa mmoja alilewa sana pombe. Usiku akiwa amelala akaota ndoto anapaa na akafika mbinguni. Akawa amefurahi sana. Baadae akamwomba mungu ruhusa arudi duniani kidogo.wakamwambia ukishafika mbinguni huwezi kurudi duniani kama binadamu, labda uwe kuku,au mbuzi,nguruwe nk. Jamaa akasema anaomba arudi kama kuku. Basi akarudi. Alipofika duniani akasikia kitu kinamwasha ndani kwa nyuma,akaulize nini hiki? Wakamwambia ni yai linataka kutoka,taga,akasema sawa,akataga. Mara tena ikarudia,akaambiwa ni yai lingine linataka kutoka,akataga tena,ghafla mke wake akampiga kibao pwaaa! Akamwambia mbona unakunya kitandani? Du!
 
Hapo sijui nichangie nini, ila anyway hiyo imeshaitwa ndoto, itabaki kuwa ndoto na hatuwez kui define kwenye real world.
 
...ahaaaaa...afadhali kumbe ni ndoto..maana nilishaanza kuvuta picha ya pale kitandani....
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom